KERO Morogoro: Tunalazimishwa kulipia ushuru mara ya pili kwa mizigo iliyoshalipiwa tayari

KERO Morogoro: Tunalazimishwa kulipia ushuru mara ya pili kwa mizigo iliyoshalipiwa tayari

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

salsha96

New Member
Joined
Apr 2, 2016
Posts
4
Reaction score
0
Mimi ni mfanyabiashara wa nafaka Mkoa wa Morogoro, tunapobeba mizigo gari kubwa haziingii katikati ya mji hivyo inatulazimu kufaurisha mzigo kwa kutumia gari ndogo cha kushangaza tunapofanya hivyo watu wa halmashauri wanataka ushuru mwingine angali mzigo una risiti halali ulipotoka.
 
Back
Top Bottom