MOROGORO: Polisi aua watu wawili akijihami

Utata upo kwenye para inayosema "walikuwa wanamkimbiza ili wamnyang'anye silaha akawafyatulia risasi ikampata mmoja kwenye matako"

Hiyo risasi imeishi mombasa sana.
Yaani inazunguka kufuata makalio tu!?
Risasi ilikuwa inatafuta tobo ipite iendelee na safari
 
Anayekukimbiza ukimgeuzia risasi atabaki anakukodolea macho eeee?

Tumia akili ndugu, hata kama ni za kuazima. Zitumie tu
Tatizo ni pale unapodhani una akili wakati wewe ni mpumbavu.

Umeambiwa askari alirusha risasi kujihami. Kama huyo raia alibadili uelekeo na kugeuka kurudi alikokua anatoka (kwa mtazamo wako), kulikua na haja gani ya kumpiga risasi?

Kujihami ni pale unapochukua hatua dhidi ya mtu anaekukabili, sio anaekukimbia!
 
Samahanini naomba kufafanuliwa. Mimi sijawahi kujifunza matumizi ya silaa lkn je risasi ikipigwa juu inaweza kushuka chini na nguvu ile ile na ikaua mtu?

Haaaaaa ngoja nikufunze, RISASI IKIRUSHWA JUU HEWANI IKIRUDI CHINI IKIWA HUJAFUNGA MA.TAKO NA UKO KARIBU INAINGIA KATIKATI YA TIGO NA UTAKOMA ALAFU INA MOTO.. haaaaa, umeelewa, ukiona siku nyingine risasi imerushwa juu kuelekea upande wako bana matako lala chini haraka..
 
Utata upo kwenye para inayosema "walikuwa wanamkimbiza ili wamnyang'anye silaha akawafyatulia risasi ikampata mmoja kwenye matako"

Hiyo risasi imeishi mombasa sana.
Yaani inazunguka kufuata makalio tu!?
 
Huyo askari kama vile alikusudia Kuua. Kuna Paragraph zinakinzana.
1. Alirusha risasi hewani kuwatishia
2. Alirusha risasi kujihami na waliotaka kumnyanganya silaha.
Wewe unasema bila kupima akili za hovyo za wafugaji.
 
Zimefyatuliwa angani, zikauwa na kujeruhi kivipi? Sema afande aliamua kujihami kwa kuwatwanga risasi, na siyo kufyatua juu!! Anyway R. I.P wapendwa.
 
Tena inaonekana bunduki ilikuwa na risasi chache.

Otherwise, ningekuwa mimi na nina risasi za kutosha ktk mashine ningewapa za kichwa faster ili waache viherehere.

Somethings sound better 'unsaid'!! .....huu hapa ni 'Unguruwe'!!!

Vita ya wafugaji na wakulima ni Kidonda Ndugu cha taifa hili, hii issue inahitaji watu makini na wenye upeo mpana kukaa na kutafuta suluhisho la kudumu!

mfano:: Wafugaji watengenezewe maeneo ya malisho/mashamba ya kudumu na wao (wafugaji) wawajibike kuyalinda + kuyatunza kuhakikisha yanadumu huku wakulima wakiachwa huru na mashamba yao!!!
 
Haaaaaa ngoja nikufunze, RISASI IKIRUSHWA JUU HEWANI IKIRUDI CHINI IKIWA HUJAFUNGA MA.TAKO NA UKO KARIBU INAINGIA KATIKATI YA TIGO NA UTAKOMA ALAFU INA MOTO.. haaaaa, umeelewa, ukiona siku nyingine risasi imerushwa juu kuelekea upande wako bana matako lala chini haraka..
:D:D:D
 
Huyo askari kama vile alikusudia Kuua. Kuna Paragraph zinakinzana.
1. Alirusha risasi hewani kuwatishia
2. Alirusha risasi kujihami na waliotaka kumnyanganya silaha.
Hebu angalia hii paragraph chini, ndio maana wenye uelewa huwa wanaandika kabla na kusoma mbele ya waandishi wa habari.
Sasa hapo marehemu walikuwa juu ya mti?
Haya tunayaona kwetu tu ya kukurupuka.
76a7cbb2751b576350263a9d0f36e056.jpg
 
Huyo askari kama vile alikusudia Kuua. Kuna Paragraph zinakinzana.
1. Alirusha risasi hewani kuwatishia
2. Alirusha risasi kujihami na waliotaka kumnyanganya silaha.
Ulitaka afanyeje kama hawasikii?
 
Hao wananchi waliouawa ni wakulima au wafugaji?? Alufu nyie wananchi vepee... mnashindwaje kimdhibiti polisi (raia mkakamavu) mmoja wakati ameshauwa wawili kati yenu. Kule kwetu ikifikia point mmoja wetu amekufa basi hatutumii tena ubongo ni full adrenaline na mziki wake lazima waje wale jamaa wa mabakamabaka kuuzima.
 
Back
Top Bottom