KISHINDO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 2,115
- 1,801
Risasi ilikuwa inatafuta tobo ipite iendelee na safariUtata upo kwenye para inayosema "walikuwa wanamkimbiza ili wamnyang'anye silaha akawafyatulia risasi ikampata mmoja kwenye matako"
Hiyo risasi imeishi mombasa sana.
Yaani inazunguka kufuata makalio tu!?