MOROGORO: Mwili wa Diwani wa CHADEMA kata ya Namwala aliyeuawa kwa kukatwa na mapanga, Godfrey Luena waagwa

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
MOROGORO: Mwili wa Diwani wa CHADEMA kata ya Namwala aliyeuawa kwa kukatwa na mapanga, Godfrey Luena unaagwa leo huko Ifakara.

Luena aliuawa nyumbani kwake na mpaka sasa watu waliohusika na tukio hilo hawajatiwa nguvuni.

DW8fiejX0AA8XPB.jpg


Awali kabla ya kuchukuliwa kwa mwili kulizuka tafrani za hapa na pale baada ya watu wanaodaiwa kuwa usalama wa wilaya walizuiliwa kuingia maeneo ya mochwari na viongozi wa CHADEMA waliopiga kambi tangu jana usiku katika eneo hilo.



Chanzo: Tanzania Updates
 
Sizonje endelea kuchekelea siku ukipita kwenye anga zetu tutakugawana kama mbuzi wa kuchoma
 
Back
Top Bottom