Morogoro: Mji wa watu goigoi

Mkuu hiyo ni lugha ?
Kwa ufupi mkuu ni kwamba; ni wavivu, tegemezi sana, wengi hutegemea kupata ridhiki kwa njia za mkato/dhurma nk...hawapendi kazi, wanaamini pesa za njia ya mkato ndio nzuri na tamu....kwahiyo hawawezi kukomaa kufanya kazi za uhalali ili wapate pesa halaliXX
 
Jaman huko kilombero ndo kuna watu wa ajabu sijawah onaa alafu kilaa mtu anajikutaaa mjanja alafu hamnaaa kitu na kama sio kile kiwanda sijui pangefananajeee ...inshort morogoro panafaaa kwa kilimo na sio pa kuishi
 
Naona saiv wapo Moro baada ya kutoka dar.....Naisubiri Iringa
 
Kweli mwambie na kule milimani wanaisha watu na hakuna lifti ya kwenda wala kurudi
 
Ungefika Malinyi, Mtimbira, Lupiro, Mahenge, Mwaya, Ifakara, Kidatu, Mangula, Mikumi, Kilosa na Mlimba wala usingeandika huo utumbo wako. Wewe umefika Moro mjini ambapo kimsingi huwezi kupata wenyeji wa mkoa wa Moro zaidi ya mchanganyiko wa watu mbalimbali. Mkuu jitahidi kutembea kidogo, angalau ufike hata Ifakara, then uje na mrejesho hapa.
 
Acha kudanganya watu huko unakotaja mashamba mengi ni ya wakaguru na wageni +wasukuma ambao kwa kiasi kikubwa ndio wameyafumua mapori ya moro .
Mimi nimekaa moro aisee hakuna watu wavivu kama wapogoro na waruguru,wanalima mita 50 tu hapo atakwambia ndio kalima kweli.Huo mfano wa kilombero sugar mashamba ni ya mwekezaji wenyeji ni kiasi kidogo na wengi wanawatumia wasukuma kulima kama vibarua wao hawawezi .
 
Pamoja na uvivu wa watani wangu Moro ni mji ambao naupenda,aisee ukiwa mpenzi wa kiti moto hapo ndo penyewe halafu mambo yetu yale pale KAUMBA [emoji16]
 
Vipo mkoa gani na vinalimwa wapi? we unafikiri Africa kusini ilijengwa na mandela peke yake .

Wageni ndio wanaokuza mji we unafikiri msukuma akijenga Nyumba Moro inajulikana ni ya wapi si Morogoro unafikiri itakuwa ya mwanza au Shinyanga .

Exapnd your mind.
 
Mweleze huyu maana mi nitaishia kumtukana tu! Mashamba ya mikonge wanalima wa mwanza? Miwa wanalima wa mwanza? Mpunga wanalima wa mwanza? Kuna viwanda vya kuku kibao watu wasile hao kuku ili wanufaike watu gani?,viwanda vya tumbaku vikubwa viwili,viwanda vya sigara nani anafanya kazi? Yule mzungu anaelima lozera,pili pili kali,mmea ya milonge,na majani ya chai wanafanya kazi watu wa wapi?Mtakuja kutukanwa bure tu watu wengine.
 
Yaani kuña mijitu inatia hasira sana mkuu wanatutafutia Ban kwa Mod tu.
Hao hao ndo kutwa kujaza mabasi wanakimbilia morogoro kwenye unafuu wa maisha wanaita! Kinachowaleta nini
 
Hao hao ndo kutwa kujaza mabasi wanakimbilia morogoro kwenye unafuu wa maisha wanaita! Kinachowaleta nini
Kinachowaleta ni uvivu wao tu wa kutokuona fursa huko watokako.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kinachowaleta ni uvivu wao tu wa kutokuona fursa huko watokako.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wamekalili kulima mkuu unadhani wanajua fursa zingine hao! Wakisikia morogoro Kuna mvua za uhakika ndo baasi
 
ni kwel kaka usemalo aisee kwa moro mjin hmna kitu kbsa watu wa ple ni wa vivu sana tofaut na sehemu km kilombero ifakara, mpk mahenge na huko kuna hela na maendeleo kila siku ukienda lkn moro mjin kila siku kukovile vile jpo ndo makao ya mkoa.. nmebahatika sana kutembea huko kilombero had maliny mahenge lkn kilombero pako vizur pana hela sana ple ttz ple panahitaji halmashur ijengwe kwamaana ya maendeleo ya ple ple tofaut na sasa ela yotr ya ple inaenda morogoro mjin km kungekuwa na halmashaur pangeendelea sana.
 
Wewe ukitembelea miji ya watu ni kuponda tu, Acha ujinga. Kwanza asilimia 60 ya watanzania ni wavivu, wewe umeona morogoro peke yake?
 
Jamaa wamekuja na uzi wao kujitetea,kumbe wanaume wa moro ni waimba taarabu pia
 
Jaman huko kilombero ndo kuna watu wa ajabu sijawah onaa alafu kilaa mtu anajikutaaa mjanja alafu hamnaaa kitu na kama sio kile kiwanda sijui pangefananajeee ...inshort morogoro panafaaa kwa kilimo na sio pa kuishi
mkuu nmekaa ple km 2weeks kilombero sijaona ubaya wake na nilichogundua kuna ela sana ukiacha morogoro mjin sehemu inayoingiza hela sana ya mapato ni ple kupitia biashara mzunguko wa hela uko juu sana..pia unaposem bila viwanda kungefanana vp.. viwanda ndo kila kitu huoni sasa hpo moro mjin kulivyokuwa kugumu kimaisha sabb ya ukosefu wa nn si viwanda lkn vingekuwepo km miaka ile hpo moro mjin kusingekuwa hivo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…