Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,165
- 5,645
Wakuu habari?
Juzi tu hapa nimetoka kumpokea mgeni kwenye Airstrip apa Morogoro cha ajabu huduma ya Uber amnaa wala Bolt au chochote. Nimesikitika sana.
Hivi tatizo litakuwa nini mpaka mikoa mingine iwepo lakini Morogoro isiwepo ?