Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 261
Dereva wa Bodaboda, Oscar Samuel (36) Mkazi wa Mtaa wa Kilongo B Kata ya Mkundi Manispaa ya Morogoro ameuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kutobolewa macho na Watu wasiojulikana.
Akiongea na @ayotv_ Mdogo wa marehemu, Huruma Samweli amesema May 31,2023 Oscar alimuaga Mkewe anaelekea shambani eneo la CCT Forest Manispaa ya Morogoro na hakurejea tena hadi Juni mosi mwaka huu walipokuta mwili wake umetelekezwa msituni ukiwa na majeraha huku macho yametobolewa na pikipiki haipo.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kilongo B Paul Laurence amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema kwa sasa wanaanza msako kuwatafuta Vijana wote ambao wanakaa vijiweni na kuvuta bangi ili waweze kuchukuliwa hatua kwani huenda ikawa sababu ya matukio kama hayo kutokea katika Mtaa wake.
Chanzo: Millard Ayo
[emoji23][emoji23][emoji23] acha hizo mkuuSi huwa mwajisifia kuwatomba wake za watu.
Kuleni chuma hicho
Kama ni ufala,wewe ni fala nambari wani!Si huwa mwajisifia kuwatomba wake za watu.
Kuleni chuma hicho
Kenge ni baba na mama yakoKama ni ufala,wewe ni fala nambari wani!
Kenge wewe.
Angekuwa ndugu yako ungesema ivo? hemu kuwa na ubinadamu basiSi huwa mwajisifia kuwatomba wake za watu.
Kuleni chuma hicho
Hawa wasengerema mwizi mmoja kapigwa mvua maisha bado hawakomi 😡😡😡😡😡Dereva wa Bodaboda, Oscar Samuel (36) Mkazi wa Mtaa wa Kilongo B Kata ya Mkundi Manispaa ya Morogoro ameuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kutobolewa macho na Watu wasiojulikana.
Akiongea na @ayotv_ Mdogo wa marehemu, Huruma Samweli amesema May 31,2023 Oscar alimuaga Mkewe anaelekea shambani eneo la CCT Forest Manispaa ya Morogoro na hakurejea tena hadi Juni mosi mwaka huu walipokuta mwili wake umetelekezwa msituni ukiwa na majeraha huku macho yametobolewa na pikipiki haipo.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kilongo B Paul Laurence amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema kwa sasa wanaanza msako kuwatafuta Vijana wote ambao wanakaa vijiweni na kuvuta bangi ili waweze kuchukuliwa hatua kwani huenda ikawa sababu ya matukio kama hayo kutokea katika Mtaa wake.
Chanzo: Millard Ayo
Kula chuma hicho, ukifanya upumbavu kitachokukuta ni shauri yako...Angekuwa ndugu yako ungesema ivo? hemu kuwa na ubinadamu basi
ok sawa haina shida.Kula chuma hicho, ukifanya upumbavu kitachokukuta ni shauri yako...
Nadhani huyu jamaa angechukuliwa pia kuisaidia polisi!Angekuwa ndugu yako ungesema ivo? hemu kuwa na ubinadamu basi
Police wa tz wangekua na weled upelelezi wangeanza na wewe wangepata mwanga .Si huwa mwajisifia kuwatomba wake za watu.
Kuleni chuma hicho
Preliminary investigation ndio zimebainisha kwamba victim alikuwa anatoka na mke wa mtu?[emoji848]Wake za watu sumu..
Tukumbushane.
Bro una una hasira usihukumu wote, hata hivyo huenda hao wanawake wanafanya nao wao ndo huwatongoxa au kujirahisisha kwaoSi huwa mwajisifia kuwatomba wake za watu.
Kuleni chuma hicho