Morogoro: Basi la Dar Lux kutoka Bukoba lapata ajali, hakuna vifo

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
754
3,097
Dar Lux Higer ya kutoka Bukoba imepata ajali maeneo ya Morogoro muda wa Saa Kumi alfajiri, hakuna madhara kwa abiria bali chombo husika

DarLux.PNG
 
Samahami jamani....
Kama hilo Bus dereva alikuwa mzee mzee hivi mwenye mwili mnene. Huyo mzee anaendeshaga bus vibaya sana. Kuna siku alitaka kunisababishia ajali hapo Dodoma. Yaani anaendesha gari kwa fujo sana. Ila kama sio yeye sawa. Maana hapo Dar Lux kuna vichaa wanaendesha hayo mabasi utadhani wamejitoa muhanga.
 
Back
Top Bottom