Kukata harufu kali ya jasho mwilini:
Namna ya kukata harufu kali ya jasho mwilini kwa kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay:
Kijiko kimoja cha chai udongo wa Aunt Zainab's Natural Super Clay, nusu kikombe cha maji safi, changanya pamoja mpaka iwe rojo lisiwe zito wala jepesi sana la mchanganyiko wa maji na udongo (isiwe nzito sana na isiwe nyepesi), paka kwenye kwapa zote, paka kwenye pachu za mapaja, wacha ikaukie mwilini kisha nawa kwa maji safi. Fanya hivyo kila siku kwa wiki moja ikiwezekana kutwa mara mbili. Tuletee majibu kwa pm.
Asante
Zainab