Morocco yajitoa kuandaa kombe la Mataifa ya Afrika

Morocco yajitoa kuandaa kombe la Mataifa ya Afrika

Usalama ni kwasababu ni mashindano ya Afrika sio, na yanafanyika January, lakini kuna mashindano mengine, Club World Cup, ambayo yatafanyika nchini humo kuanzia oktoba 31 na yanashirikisha timu kutoka Spain pia, nchi ambayo ikumbwa ugonjwa wa ebola vilivile. Kwanini hawayaondoi haya mashindano pia?

Hebu mkuu jaribu kidogo kuufanya ubongo wako ufikiri...

Mashindano ya klabu bingwa ya dunia si sawa na yale ya mataifa huru ya Kiafrika...

Mashabiki wa AFCON ni Waafrika wataosafiri baina ya nchi hizi hizi zaKiafrika na zaidi wengi ni kutoka mataifa ya magharibi yenye kujumuisha timu nyingi bila shaka...

Klabu bingwa ya dunia ni mashindano ya muda mfupi mno na mara nyingi mashabiki wa ndani ya nchi ndio huwa watazamaji wakubwa...
 
Ubongo wangu unafikiri vizuri tu, kwa taarifa ya Real Madrid inaingia na washabiki lukuki, kama hujui ni kufahamishe, kutoka Spain kuingia Morocco ni dakika chache tu by boat kwa hiyo timu kutoka Spain inakuja na mashabiki. Halafu ukae ukijua Club ya Vita kutoka Congo ni moja ya washiriki wa mashindano.
 
Back
Top Bottom