Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
Wik 1 iliyopita Nchi ya moroco iliomba kombe la mataifa ya Afrika kusogezwa mbele kutokana na hofu ya ebora lakin CAF walikataa na kusema mashindano yatakuwa mwezi wa kwanza mwakani kama kawaida.
Hivi leo waandaji wa mashindano hayo Morocco wamejitoa rasmi hivyo haileweki mashindano yatakuwa wapi mpaka sasa.
Hivi leo waandaji wa mashindano hayo Morocco wamejitoa rasmi hivyo haileweki mashindano yatakuwa wapi mpaka sasa.