DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
- Thread starter
-
- #21
Kwani wewe hauoni Morocco ameshinda? Wewe hauoni haki imeshinda? Nikiangalia anayeumia hapa ni wewe na wenzako wa aina yako ambao hamjifunzi kutoingiza siasa kwenye michezo.Ulivyosema Morocco imeshinda, haki imeshinda tayari ushaeleweka.
Mnavyo comment comment kwa mitandao mkafkiri watu hawatoenda uwanjani ? KIMEWAUMA SANA uwanja tumejaza na October tuna ✅
Achana na stars kamalizie Uzi wako wa simulizi ya utukutu wakoLeo si kiingilio bure? Stars imeshinda ngapi?
Chadema mna kaujinga flani Hadi mnaboaHongera sana kwa wana haki wowote pale nchini Tanzania.
Leo ilikuwa ni Haki vs Dhulma na uonevu.
Upuuzi na ushamba umeshindwa ila endeleeni kukaza mafuvu.
Wanajidanganya wenyewe halafu wanadhani kila mtu amedanganyika. Aibu ya karne ilikuwa inawanyemelea leo wakaona wafanye fungulia mbwa ila watu walikuwa kama wapo msibani.Leo si kiingilio bure? Stars imeshinda ngapi?
Mimi ni chaumaChadema mna kaujinga flani Hadi mnaboa
Kujichagua una maana gani?.Mkijaza uwanja na kutiki ili mjichague, hao wanaofurahia Tanzania leo kufungwa wanapata shida gani?
Asante Bwana Yesu, rushwa tupu na kuharibu kutawanya hela zetu.Hongera sana kwa wana haki wowote pale nchini Tanzania.
Leo ilikuwa ni Haki vs Dhulma na uonevu.
Upuuzi na ushamba umeshindwa ila endeleeni kukaza mafuvu.
My ribs 😆😆😆😆Kwa masikitiko makubwa nimeumia sana yani sisi wakufungwa moja kweli hii haki jamani??????
Hata mia moja itapendezaKwanini goli moja tu nimesikitika sana hawa walitakiwa wapigwe 3 kabisa
Kenya wana timu nzuri sana na wanacheza kiufundi pamoja na kutokuwa na uzoefu. Leo wametoka kwa kuwadharau MadagascarKenya kesho tunaandamana kwann tutolewe kwa matuta
Jinga weweMmeona Uwanja ulivyofulika?
Nyie kaeni mnanuna nuna kwenye mitandao tutawaonesha jinsi tutavyofurika kupiga kura October
Kafungwa solotape. Timu haina hata daktari ile.Ilikuwa halali stars ifungwe we bandeji gani ile aliyofungwa kagoma
Hamna timu pale ila mengine nakubaliana na wewe. Tunawaambia kila siku waiache timu icheze hawasikii.Hii timu ni nzuri ila kuna mambo ya kipuuzi yaliingizwa kujitukuza kisiasa na kidini, tulionya mkiingiza siasa na udini timu haitafika mbali. Hii timu ni ya watanzania wote mkome kushadidia siasa na udini kwenye timu ya taifa