Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,483
mkuu sio kwamba ni fc-rabat na azam?
Nimefungua, nimeona hiyo hacked by mr. spam lakini sijaona matusi. Labda utuambie ni page gani?
Hacked By Mr-Spam Aka X-Mar Root
Go Secure Your Ass MTF !!!!-Haya maneno ni tusi au lah!
Moroccan Hackers Was Here
UnderFireSecurity
Specoal Thanks :GovAttacker
Watundu wasio na nidhamu (WWN) wamevamia tena Web ya Tanzania. Jamaa inaonekana wameumia sana Taifa Stars kuwafunga sasa wanafukunyua website chovu za serikali.
Naomba wadau muweke list ya site walizochezea so far.
Swali ni kuwa Tukawachezee kwao? Mchezo tunauweza?
Tunatakiwa tufanye Hacktivist? Serikali itatulinda in case...!?
Moroccan Hacklist
1. The Vice-President's Office - Home -

iGuess its time for me to put on my black hat;
What? one Kenyan insult?such weak nation mnataka kwenda kwa cyber war!!try if you have gut
Don't do that. Utashangaa serikali inakuvua mask unabaki mweupee!iGuess its time for me to put on my black hat;
iGuess its time for me to put on my black hat;
arrow...............oliver queen - vigilante¿¿??