Morning ilipendeza

Morning ilipendeza

Lunch ya kinyonge kwanza... Kisha kwa Mangi ngumu kimeza
9fdb8fb05da89609b7af35f9a9b7241e.jpg
Hii sio ndizi kishimundu kweli?
 
Haha mbiti niache na vitumbua vyangu bana weeh. Napambana na hali yangu tu
hahahah yupo!wakat wewe unaamkia kombe la chai ya rangi isio naspices na vitumbua!mwenzako anaamkia nammna hii!

mambo ni hivi
MI ni bwana pepsi, atakaye wahi kuni inbox no yake ndiye atapata angalau ya balimi
 
Mnawasingizia wanyonge tuu hii breakfast ya kidar es salaam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom