donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,519
Breakfast yakinyonge walau kuiona siku.
Ya kinyonge?Breakfast yakinyonge walau kuiona siku.
Hahaha mkongwe vp? Nipe direction za baadaeYa kinyonge?
Lunch ya kinyonge kwanza... Kisha kwa Mangi ngumu kimezaHahaha mkongwe vp? Nipe direction za baadae
Baadae nitaenda kugonga kama hii pale diaitiiLunch ya kinyonge kwanza... Kisha kwa Mangi ngumu kimeza
Hahaha mkongwe vp? Nipe direction
yaan wewepesa nyingi sana huwa zinapotea kwenye seminar, mabaraza na warsha!
upo lakini mtoto mzuri?yaan wewe
umedownload tu!Breakfast yakinyonge walau kuiona siku.
Nipo mimi za weweupo lakini mtoto mzuri?
Ya kinyonge?
pale kuna michemsho kuku, michemsho samaki, ndizi kuku wa kienyeji, dona nyama choma, pilau, wali, umekumbuka nini?umenikumbusha diaitii
Mkuu....Breakfast yakinyonge walau kuiona siku.
pale kuna michemsho kuku, michemsho samaki, ndizi kuku wa kienyeji, dona nyama choma, pilau, wali, umekumbuka nini?
wanawake bana.... sa umependa zile epron zao ama?wahudumu wa kiume...lol
wanawake bana.... sa umependa zile epron zao ama?