EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,701
- Thread starter
- #141




Hakikisha mnaoga wote baada ya morning glory, na kila mtu amsugue mwenzie , pia kupakana mafuta, mtafurahia maisha




Hakikisha mnaoga wote baada ya morning glory, na kila mtu amsugue mwenzie , pia kupakana mafuta, mtafurahia maisha
Mke bhana, mbona mnawafanyia micheouko kwa wakezenu mnakwama wapi??Namimi nauliza...hahaaa
Huyo mke ambaye anaweza kuamka saa 10 alfajiri aanze kulamba asali na kuvua shumizi huku anakupeti peti anapatikana duka gani mkuu...???
Maana wengi tulionao tunafahamu wakiguswa hata tako tu lazma wafyumuna kusindikizia na kauli mojawapo katika hizi:
"Nshakwambia staki usumbufu nikiwa nimelala"
"Ntakupa nikiamka"
"Ukoje wewe niache nilale bana"
"Nimelala bana sitaki kero"
"Eeh eh umeanza usumbufu wako tayari"
"Argh, yani mtu asilale jamani"

una experience na maswali ya kero



Umri utakua unekutupa mkono orelse iko shida pahala Kwani kwa mwanaume hii kitu asubuhi ni kawaida







Hahahah walioko chamani wanaelewaMkuu umeongea ukweli tupu..
🤣🤣🤣🤣🤣 Unaambiwa kuishi kwingi ni kuona mengi! Wache watu wakimbilie kuoa wakidhani ni maisha ya asali na maziwa milele na show za push to start!una experience na maswali ya kero
![]()
Mimi nshasema marufuku kuniamsha saa kumi na moja alfajiri, labda kuwe na msibaHuyo mke ambaye anaweza kuamka saa 10 alfajiri aanze kulamba asali na kuvua shumizi huku anakupeti peti anapatikana duka gani mkuu...???
Maana wengi tulionao tunafahamu wakiguswa hata tako tu lazma wafyumuna kusindikizia na kauli mojawapo katika hizi:
"Nshakwambia staki usumbufu nikiwa nimelala"
"Ntakupa nikiamka"
"Ukoje wewe niache nilale bana"
"Nimelala bana sitaki kero"
"Eeh eh umeanza usumbufu wako tayari"
"Argh, yani mtu asilale jamani"
😂😂😂😂😂 Huyo ni wewe kabisa hapo.Mimi nshasema marufuku kuniamsha saa kumi na moja alfajiri, labda kuwe na msiba
Mimi nshasema marufuku kuniamsha saa kumi na moja alfajiri, labda kuwe na msiba
Hahaa ndoa,nyingi za wabongo wanaishi tu....wana sukuma siku ili ziende ila ndani ya ndoa panafuka moshiMke bhana, mbona mnawafanyia micheouko kwa wakezenu mnakwama wapi??
Hakufai mie nashangaa kwanini wanaishi kwa shidaHahaa ndoa,nyingi za wabongo wanaishi tu....wana sukuma siku ili ziende ila ndani ya ndoa panafuka moshi




si waachaneHakufai mie nashangaa kwanini wanaishi kwa shidasi waachane
Hiyo ndoano sasaHahaa shida kubwa ni masuala ya kiuchumi..pia na marketing strategy ya mahusiano..
Unakuta mwanamke amezalishwa watoto wa 5 ' ...so anafikiria kuwa hata akiachana na mume wake ataolewa/ataku katika mahusiano ya kudumu tena na nani??...
Pia anawaza kuwa walisha chuma mali za kutosha na mumewe..Endapo akiachana nae anaweza kuwakosesha haki za msingi watoto wake
So anaamua kufa na tai shingoni
Mbaya zaidi ndoa za namna hiyo ndio wana ndoa huwa wana michepuko kama abiria wa,mwendokasi
Hiyo ndoano sasa
Usikosee kuoa au kuolewaHahahah.... kosea kujenga nyumba .............................
Usikosee kuoa au kuolewa