Moriss Makoy: Mbabe wa CHADEMA na CCM Arusha

Moriss Makoy: Mbabe wa CHADEMA na CCM Arusha

Mrisho Gambo hawezi kwenda kinyume na matakwa ya makoye kwa sababu makoye ni diwani wa ccm huko moshi na jambo ambalo makoye analitaka ni jambo ambalo halmashauri ya jiji chini ya madiwani wa chadema hawalitaki, Gambo akaenda kinyume na makoye itakuwa kawaunga mkono chadema kitu ambacho Gambo hawezi kubali hata kwa ncha ya upanga hata kama inasababisha hasara kiasi gani kwa serikali.
Daaa
 
Mtoa mada ameeleza vema sana na kama hili litafanyiwa kazi na mamlaka husika litakuwa limewagusa wahanga wengi sana wanaonyanyasika na swala hili...Watu wengi wamefunga na kuachia maduka pale stand ndogo bila ya wao kupenda....
Kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom