Moriss Makoy: Mbabe wa CHADEMA na CCM Arusha

Mkuu Kelvin Marcus nakushkuru Kwa ushauri. Yani jinsi huyu bwana alivyo na mambo, hapo nimeyafupisha sana. Sijaweka picha wala video clips akiwa anatisha wananchi. Ila ushauri wako nimeupokea na nitaufanyia kazi katika makala zijazo.
Pamoja mkuu
 
Mrisho Gambo hawezi kwenda kinyume na matakwa ya makoye kwa sababu makoye ni diwani wa ccm huko moshi na jambo ambalo makoye analitaka ni jambo ambalo halmashauri ya jiji chini ya madiwani wa chadema hawalitaki, Gambo akaenda kinyume na makoye itakuwa kawaunga mkono chadema kitu ambacho Gambo hawezi kubali hata kwa ncha ya upanga hata kama inasababisha hasara kiasi gani kwa serikali.
 
1.Makoy hana mapenzi ya dhati Kwa CCM na ndio maana alikataza shina la wakereketwa wa CCM liitwalo NAMANGA. Makoy na mwenzie Betty Manjira walikataa katakata bendera ya CCM isiwekwe pale, Kwa madai eti lile ni eneo la mengi lao na kwamba eti hairuhusiwi kua na shina kwenye sehemu kama ile. Sasa wanajenga shina jipya mahali pengine. Kama kweli anaipenda CCM arudishe shina la Namanga.
2. Alidhamini wapinzani katika chaguzi Kwa sababu anazozijua yeye. Sasa Gambo na CCM Kwa ujumla wajiulize, Kwani hakukuwa na mgombea wa CCM kata za levolosi na zinginezo??
3. Shokia aliekua anamtukana sana JPM wakati wa uchaguzi Kwa vipaza sauti pale standndogo, aliwekwa lockup na wanachama wa CCM Kwa kosa la lugha ya matusi na kashfa. Makoy ndo alipambana mpaka akapata dhamana na kumaliza ule msala,, je huyu anaipenda CCM Kwa dhati ama Kwa maslahi??
4. Na hao wanachama wanaoingizwa na Makoy CCM wakiongozwa na Shokia, wanapenda CCM Ama vibanda?? Mbna bado shokia anaratibu kambi zake za CHADEMA ili agombee 2020 udiwani kata ya levolosi Kwa ticket ya CHADEMA??

Mwasu kama kweli Gambo atafanya hivyo, CCM watapoteza watu wengi sana Kwa pale stand ndogo tu, zaid ya900 Kwa ajili ya kigenge cha watu wasiozid 50. Sasa hivi wale watu pale wanaaminishwa wanaonewa na CCM kitu ambacho si cha kweli kabisa. Gambo is a very smart person, Nina uhakika hatakurupuka kufkuza tu watu pale stand et Kwa sababu ya Makoy.
 
Mbwembwe nyingi mahaba ya waziwazi halafu eti mwandishi huru!
 
Acha uongo hakuna Osama mwelevu
Mtoa mada ameeleza vema sana na kama hili litafanyiwa kazi na mamlaka husika litakuwa limewagusa wahanga wengi sana wanaonyanyasika na swala hili...Watu wengi wamefunga na kuachia maduka pale stand ndogo bila ya wao kupenda....
 
Huyo jamaa si ndio mwenye Aquelin hotel(AQ) pale stand au?
 
Umefanya vizuri kupaza sauti..just relax, wait and see!
 
Mtoa mada ameeleza vema sana na kama hili litafanyiwa kazi na mamlaka husika litakuwa limewagusa wahanga wengi sana wanaonyanyasika na swala hili...Watu wengi wamefunga na kuachia maduka pale stand ndogo bila ya wao kupenda....
Kabisa Mkuu. Tatizo kubwa hapa ni huyu Morris Makoy. Anajitapa eti yeye ni shareholder wa jiji. Majuzi alikua na jopo lake hotel ya Miami beach, wakiratibu michango ya kumpelekea DAS - David Mwakiposa. Haijulikani haswa ni ya nini na kama kweli michango hiyo wanayochangishwa wajenzi kama kweli itafikishwa Kwa Huyo DAS
 
Umefanya vizuri kupaza sauti..just relax, wait and see!
Nina imani kubwa sana Kwamba makala haya yatatoa mwanga Kwa viongozi wa juu wasioelewa nini haswa chanzo cha mgogoro huu usiokwisha. Kwa serkali ya sasa sidhan kama hizi tabia zina nafasi. Viongozi wa juu wamekua wakipotoshwa sana, na kupewa taarifa zisizo na ukweli kabisa. Haiwezekani mtu mmoja na kikundi chake wakawa juu ya sheria wakati wote
 
Namfahamu Moris Makoi nje ndani.

Jamaa pamoja na kwamba ni darasa la saba lkn ni mjanja mjanja fulani hivi ila ni muoga sana kwa mtu anae jielewa.

Huku kwetu Okaon ni kwamba hakupata Upinzani katika uchaguzi uliopita baada ya kuonga yule jamaa wa chadema na kuchelewa kurudisha fom.

Kwakua umepaza sauti, basi Gambo atalisikia hili na kulifanyia kazi.

Ila angalien bhana msiniulie huyo mjomba angu aisee.
 
Mkuu General Mangi, inaelekea wewe unamfahamu vizuri huyu bwana. Anawasumbua maskin kweli Arusha. Yani yeye always yupo juu ya sheria. Hivi unapata wapi mamlaka ya kutoa Mali ya mtu dukani mwenyewe akiwa hayupo na serkali ya mtaa ikiwa haipo na anvunja duka, anaunganisha anaanza kufanya biashara kibabe namna hiyo. Na unamwambia serkali haimfanyi kitu na kweli haimfanyi. Vipi anapewa vibali na hachukuliwi hatua zozote kisheria??? Huu ni mwanzo tu. Ni lazma sauti ipazwe hadi viongozi waelewe Hili swala. Anasema hakuna namna anaowaonea wataenda Kwa viongozi Kwani ameshablock njia, lakini watafika tu. Hii ni nchi huruma, hawezi kugeuza Mali ya uma kua kisiwa chake.
 
Hii ni nchi huru, hawezi kugeuza Mali ya uma kua kisiwa chako cha mafanikio.
 
Mkuu General Mangi, inaelekea wewe unamfahamu vizuri huyu bwana. Anawasumbua maskin kweli Arusha. Yani yeye always yupo juu ya sheria. Hivi unapata wapi mamlaka ya kutoa Mali ya mtu dukani mwenyewe akiwa hayupo na serkali ya mtaa ikiwa haipo na anvunja duka, anaunganisha anaanza kufanya biashara kibabe namna hiyo. Na unamwambia serkali haimfanyi kitu na kweli haimfanyi. Vipi anapewa vibali na hachukuliwi hatua zozote kisheria??? Huu ni mwanzo tu. Ni lazma sauti ipazwe hadi viongozi waelewe Hili swala. Anasema hakuna namna anaowaonea wataenda Kwa viongozi Kwani ameshablock njia, lakini watafika tu. Hii ni nchi huruma, hawezi kugeuza Mali ya uma kua kisiwa chake.
Mkuu ingia page ya Tanzaniagovernment ya instagram, pale ndipo unapoweza toa malalamiko yako na kusikilizwa.
https://www.instagram.com/tanzaniagovernment/
 
Mkuu ingia page ya Tanzaniagovernment ya instagram, pale ndipo unapoweza toa malalamiko yako na kusikilizwa.
Tanzania Government (@tanzaniagovernment) • Instagram photos and videos
Shukrani Mkuu. Katika tafiti zangu nimegundua pia mbali na kuvunja duka la bwana Stephen na kupeleka Mali mahali pasipojulikana, alisimamia zoezi la kuvunja duka la bwana Charles Malya na kusababisha uharibifu mkubwa wa Mali na hasara ya mamilioni ya pesa. Akishirikiana na bwana Isack Zumba wameapa kwamba watahakikisha Haki haitendeki mahakamani ambapo muhanga bwana Charles Malya amekimbilia kutafuta Haki yake.
 
Namfahamu Moris Makoi nje ndani.

Jamaa pamoja na kwamba ni darasa la saba lkn ni mjanja mjanja fulani hivi ila ni muoga sana kwa mtu anae jielewa.

Huku kwetu Okaon ni kwamba hakupata Upinzani katika uchaguzi uliopita baada ya kuonga yule jamaa wa chadema na kuchelewa kurudisha fom.

Kwakua umepaza sauti, basi Gambo atalisikia hili na kulifanyia kazi.

Ila angalien bhana msiniulie huyo mjomba angu aisee.
Watu achie Makoi wetu bwana!
 
Back
Top Bottom