Morison awekwa sero Ostabay

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,247
Polisi walimsimamisha baada ya kulitilia shaka gari lake lakini majibizano yakachukua mda na hatimaye polisi wakaona wamweke lockup.
 
Polisi walimsimamisha baada ya kulitilia shaka gari lake lakini majibizano yakachukua mda na hatimaye polisi wakaona wamweke lockup.
Tupate picha kwanza,
IMG-20200730-WA0055.jpg
 
Tuliyaongea jana humu. Rumande hakuna mwenyewe, kapaki gari dk hii dk inayofuata anajikuta O'bay
 
Bahati mbaya sana polisi hawafuatilii ligi za bongo.hata hawamjui ni nani🤣🤣🤣
 
Polisi wanadai walimkamata baada ya kupishana maneno hao gsm wamebadili jina lakini tabia zao ni zilezile za home shopping center
 
Na mkuu wa kituo anasema Yeye Morrison ndo aliwambia wampeleke kituoni baada ya police kutomwelewa, na anasema tumeoana hakua na kosa la kushikiria ndo maana walimwachia
 
Kwa mujibu wa maelezo ya mwanaspoti Morison alisimamishwa na polisi baada ya kuhisi harufu ya bangi, dereva na Morison waliwaruhusu wakague hawakukuta kitu chochote baadae wakataka simu ya Morison waikague hapo ndio utata ukaanza mpaka wakafikishana polisi cha kujiuliza polisi waliwezaje kunusa harufu ya bangi kwenye gari iliyofungwa vioo pia kwanini watake kuikagua simu ya Morison
 
Back
Top Bottom