Morinyoooooo angeikamata man city leo ingekuwa wapi??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Naomba maoni tukiwakama washauri wa mmliki wa timu yetu maoni ni mazuri katika
kutoa ushauri na jinsi gani ya kuimarisha kikosi chetu cha man city baada ya kuona
inaendelea matokeo ya kubahatisha ..tunahisi tatizo ni kocha je morinyooo anaweza kutunasua
??kama sie nani anaweza saidia kuimarisha kikosi chetu ambacho hata yahya ,baloteli wasipokuwepo tuwe na uhakika wa ushindi!!!!!!!
 
TATIZO la murinho PR yake ni poor,he has to toe the line,huwezi kuwa at loggerheads na mwenye timu,tena of all places in public.Tatizo lingine winning cups sio suluhisho but how you do it ndio ina count-wapenzi wanataka kuona flowing soccer na sio one route football-he has to change tactics
 
Yaani Man city ingekuwa 20 points ahead of nibebeeee nibebeeee man utd....ni imani yangu mourinho atatua Etihad kuifunza hiyo team ....nina imani hiyo sana
 
Back
Top Bottom