CYPRIAN MKALI
Senior Member
- Nov 12, 2010
- 176
- 67
Una miaka "33 - 43" ndio nini hicho, unaficha nini, au ni kibibi kimepigika?
Kama "mke mme mwema anatoka kwa Mungu," kwa nini unakuja kutafuta mume mitandaoni, kwani Mungu hajui kwamba unatafuta akushushie mume?
Kama unataka mtu wakuwa nae "kwa raha na tabu," kwa nini hutaki mtu mwenye tabu ya ukimwi? Kama hupendi mtu ambae hajamaliza starehe za dunia za kupenda wanawake kwa sababu "kuna janga la ukimwi," vipi ambae anajua kujikinga na ukimwi lakini anapenda wanawake? Na ukimwi si una dawa?
Mchumba awe "walau elimu ya chini awe na diploma angalau awe na kabachela." Hueleweki, diploma ndio nini na "kabachela" ndio nini?
Awe ameajiriwa kwenye "shirika au serikalini." Vipi kama ana mahekari ya mashamba ya kahawa na ng'ombe wa maziwa na nyama na maduka ya kubadilisha hela ambayo sio "shirika"? Unajua unachokiandika?
Hutaki mtu anaetaka "kujaribisha," well, mtu una mvua 43 usawa huu, nitajuaje bado unashika mimba wewe kama sijajaribisha kwanza?
Wife advertisement yako haijaenda shule.
ndo mnaendelea kujichagulia mpaka mnafikisha miaka 32+ halafu mnasumbua watu humu jf,washaurioni na wenzenu walio na umri mdogo kuwa huo uzuri wao wajitahidi wautumie na mwenzi wake na sio kuja kutafuta mume uzeeni,acheni kuwa mnalinga sana mwishowe mnapoteza bahatiNo,umekosea buji! Mke mwema hutoka kwa bwana (mume mwema mtu hujichagulia...)
TaUnatoka nje ya mada. Wewe ndio mnakuwadiana na huyo mwingine, for all I know nyinyi wamoja katika kutafuta mume, ambacho sio jinai. Tatizo, tangazo lako limepinda mno, huwezi kusema una umri kati ya 33 na 43. That's a decade long gap! Demu wa miaka 33 na shangazi lenye 43 ni binadamu wawili tofauti. Taja una umri gani ijulikane kama bado unazalishika.
Original post ambayo hakuweka wazi umri wake imenukuliwa hapa. Unachokisoma hapo juu ni edits alizofanya baada ya kukosolewa na kuomba samahani hapa. Kwa hiyo sijakurupuka ndugu Jeff, tumerekebishana nae na tumeshayamaliza in private. Halafu sijawahi kuji consider kuwa "great thinker." Acha mapepe.usikurupuke weweee,soma maelezo yake vizuri,mbona ametaja umri wake wazi kabisa? We umeng'ang,ania 33-43 wapi amesema ana umri huo,nina mashaka na ugreat thinker wako!
Re: ADVERTISMENT
More than serious nahitaji mume wandugu
Mimi ni Mkristo ninayempenda Mungu na ninahofu ya Mungu ndani yangu, tayari niko kwenye umri wa miaka 33 - 43.
Hivi mmeangalia huu uzi ni wa lini?Dada suala la kupata mtu serious humu;unaliamini maana kwanza matapeli wengi kwa nn usiendelee kumuomba Mungu?
0788031918
Watu wapo wenye kutaka kuoa tatizo kigezo cha elimu wengi watachemka kama mimi.Re: ADVERTISMENT
More than serious nahitaji mume wandugu
Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM.
Mimi ni Mkristo ninayempenda Mungu na ninahofu ya Mungu ndani yangu, tayari niko kwenye umri wa miaka 32. Sijaolewa, sina mtoto na Ninatafuta/ Ninahitaji mume mwenye hekima, busara na upendo wa dhati na anaejua definition ya mke nini. Pia kama hajamaliza starehe za dunia za kupenda wanawake asiniandikie - kuna janga la ukmwi sitaki, nataka mtu wa kutulia ili tujenge maisha kwa raha na tabu.Mwenye umri kuanzia 33-43.
Napenda awe Mkristo aliye na hofu ya Mungu ndani yake. Awe amesoma walau elimu ya chini awe na diploma angalau awe na kabachela hivi kwa umri huo. Awe muajiriwa eidha katika shirika au serikalini kama ana mtoto mmoja sio mbaya wasizidi. Awe tayari kupima ukimwi zaidi ya mara 3. Awe muwazi.
Mimi ni muajiriwa katika shirika
Hili swala naomba tu mchukulie kwangu ni kitu halisi hapa sina utani na wala siko kwa ajili ya kumpotezea mtu muda. Na katika hili pia namshikirisha Mungu nikiamini mume/mke mwema anatoka kwa Bwana. Na pia kwa wale watakao nishauri na kunitia moyo kwenye hili nawashukuru. Kaka zangu popote pale ulipo na unajiona kweli unahitaji mke naomba uni PM lakini kama ni swala la mzaha au kujaribisha naomba usipoteze muda.
Acha kudanganya watu... usifikir kila aliyopo humu ana tabia za hovyo...Mume mwema hatafutwi ktk keyboard.
Kila la kheri Dada nakuombea upate mume mwemaRe: ADVERTISMENT
More than serious nahitaji mume wandugu
Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM.
Mimi ni Mkristo ninayempenda Mungu na ninahofu ya Mungu ndani yangu, tayari niko kwenye umri wa miaka 32. Sijaolewa, sina mtoto na Ninatafuta/ Ninahitaji mume mwenye hekima, busara na upendo wa dhati na anaejua definition ya mke nini. Pia kama hajamaliza starehe za dunia za kupenda wanawake asiniandikie - kuna janga la ukmwi sitaki, nataka mtu wa kutulia ili tujenge maisha kwa raha na tabu.Mwenye umri kuanzia 33-43.
Napenda awe Mkristo aliye na hofu ya Mungu ndani yake. Awe amesoma walau elimu ya chini awe na diploma angalau awe na kabachela hivi kwa umri huo. Awe muajiriwa eidha katika shirika au serikalini kama ana mtoto mmoja sio mbaya wasizidi. Awe tayari kupima ukimwi zaidi ya mara 3. Awe muwazi.
Mimi ni muajiriwa katika shirika
Hili swala naomba tu mchukulie kwangu ni kitu halisi hapa sina utani na wala siko kwa ajili ya kumpotezea mtu muda. Na katika hili pia namshikirisha Mungu nikiamini mume/mke mwema anatoka kwa Bwana. Na pia kwa wale watakao nishauri na kunitia moyo kwenye hili nawashukuru. Kaka zangu popote pale ulipo na unajiona kweli unahitaji mke naomba uni PM lakini kama ni swala la mzaha au kujaribisha naomba usipoteze muda.
Nice upo mkoa ganiRe: ADVERTISMENT

Ka ma nikweli basi we ni wa kwangu kabisa.Re: ADVERTISMENT

Kila mwanamke ana ustaharabu wake , umri wa mtu si kigezo cha kufanywa au kufanya mapenzi ovyo ovyo , tumpe tumainiSipendagi kucomment ujinga ila hii kali. Yaani miaka 32 wamepiga weeee mpaka wamechoka ndo mtu anastuka istoshe bado ana masharti afu anasema serious. Na mtaisoma namba tu siku hizi mbegu 'xy' imeanza kuadimika na 'xx' za siku hizi ni hivi kama Mungu ndo anaanza uumbaji vile watoto ni wakali aisee. Afu amestuka mpaka anaomba na mwenye mtoto. Mimi nina mtoto na tayari Nina vigezo vyote unavyovitaja lkn lazima uandike barua ya maombi na interview ifanyike. Sio kizembe ivi