Sokwe Mjanja
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 575
- 298
Una miaka "33 - 43" ndio nini hicho, unaficha nini, au ni kibibi kimepigika?
Kama "mke mme mwema anatoka kwa Mungu," kwa nini unakuja kutafuta mume mitandaoni, kwani Mungu hajui kwamba unatafuta akushushie mume?
Kama unataka mtu wakuwa nae "kwa raha na tabu," kwa nini hutaki mtu mwenye tabu ya ukimwi? Kama hupendi mtu ambae hajamaliza starehe za dunia za kupenda wanawake kwa sababu "kuna janga la ukimwi," vipi ambae anajua kujikinga na ukimwi lakini anapenda wanawake? Na ukimwi si una dawa?
Mchumba awe "walau elimu ya chini awe na diploma angalau awe na kabachela." Hueleweki, diploma ndio nini na "kabachela" ndio nini?
Awe ameajiriwa kwenye "shirika au serikalini." Vipi kama ana mahekari ya mashamba ya kahawa na ng'ombe wa maziwa na nyama na maduka ya kubadilisha hela ambayo sio "shirika"? Unajua unachokiandika?
Hutaki mtu anaetaka "kujaribisha," well, mtu una mvua 43 usawa huu, nitajuaje bado unashika mimba wewe kama sijajaribisha kwanza?
Wife advertisement yako haijaenda shule.
Sema dada yangu alikuwa busy kukemea mizaha akasahau mambo madogo madogo kama haya lakini yana matter sana katika kutoa maamuzi.mtarajiwa wako unataka awe na umri gani? wowote? jaribu kufafanua kidogo dada yangu
Kumbe hujaelewa maana.
Wewe ni mwanamke uliyejitangaza kuwa unatafuta mume, umetangaza kwamba mke anapatikana, "wife advertisement"! Sasa ghafla watoka mapovu ya nini binti, si umesema unataka mtu "muwazi"?
Unatoka nje ya mada. Wewe ndio mnakuwadiana na huyo mwingine, for all I know nyinyi wamoja katika kutafuta mume, ambacho sio jinai. Tatizo, tangazo lako limepinda mno, huwezi kusema una umri kati ya 33 na 43. That's a decade long gap! Demu wa miaka 33 na shangazi lenye 43 ni binadamu wawili tofauti. Taja una umri gani ijulikane kama bado unazalishika.Anheuser
Again, take sometime to read na kutafakari before jumping into meaningless_____________________anayetafuta mume is "Jena", and I am Nemo, ie we are two different persons. Sasa basi If you failed to realize such a simple fact , what does that say re:your comments and/or great thinking??............Just curious:A S embarassed:!.
AnheuserTaUnatoka nje ya mada. Wewe ndio mnakuwadiana na huyo mwingine, for all I know nyinyi wamoja katika kutafuta mume, ambacho sio jinai. Tatizo, tangazo lako limepinda mno, huwezi kusema una umri kati ya 33 na 43. That's a decade long gap! Demu wa miaka 33 na shangazi lenye 43 ni binadamu wawili tofauti. Taja una umri gani ijulikane kama bado unazalishika.
I mean, come on Gaijin, jimama la 43 kitaani haliitwi demu tena, unamvunjia heshima, hilo ni "auntie" la nguvu, and again, umri si jinai, tatizo maa mdogo anaficha kati ya 33 na 43 hasemi kala chumvi kiasi gani hapo, I mean lazima watu wajue concetration ya chumvi wanazoenda ku deal nazo, uongo dadaangu?Duh Anheuser "demu na shangazi" eee!
Hahaha sijui huwa mnafikiri nini!
I mean, come on Gaijin, jimama la 43 kitaani haliitwi demu tena, unamvunjia heshima, hilo ni "auntie" la nguvu, and again, umri si jinai, tatizo maa mdogo anaficha kati ya 33 na 43 hasemi kala chumvi kiasi gani hapo, I mean lazima watu wajue concetration ya chumvi wanazoenda ku deal nazo, uongo dadaangu?
Oh yes you can! Just do what I say....hahahaha.....Hahaha....i can't.
kwahiyo unataka akasimame pale AMBIANCE nje???????????
Re: ADVERTISMENT
More than serious nahitaji mume wandugu
Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM.
Mimi ni Mkristo ninayempenda Mungu na ninahofu ya Mungu ndani yangu, tayari niko kwenye umri wa miaka 33 - 43. Ninatafuta/ Ninahitaji mume mwenye hekima, busara na upendo wa dhati na anaejua definition ya mke nini. Pia kama hajamaliza starehe za dunia za kupenda wanawake asiniandikie - kuna janga la ukmwi sitaki, nataka mtu wa kutulia ili tujenge maisha kwa raha na tabu.
Napenda awe Mkristo aliye na hofu ya Mungu ndani yake. Awe amesoma walau elimu ya chini awe na diploma angalau awe na kabachela hivi kwa umri huo. Awe muajiriwa eidha katika shirika au serikalini kama ana mtoto mmoja sio mbaya wasizidi. Awe tayari kupima ukimwi zaidi ya mara 3. Awe muwazi.
Mimi ni muajiriwa katika shirika
Hili swala naomba tu mchukulie kwangu ni kitu halisi hapa sina utani na wala siko kwa ajili ya kumpotezea mtu muda. Na katika hili pia namshikirisha Mungu nikiamini mume/mke mwema anatoka kwa Bwana. Na pia kwa wale watakao nishauri na kunitia moyo kwenye hili nawashukuru. Kaka zangu popote pale ulipo na unajiona kweli unahitaji mke naomba uni PM lakini kama ni swala la mzaha au kujaribisha naomba usipoteze muda.