More than serious nahitaji mume wandugu

Uporoto1
Yule binti tatizo inaonyesha wazi hajaridhika na CPU coz ikitokea mu anaomba uchumba au mke basi anakuwa wa kwanza ku-apply
WEWE CPU UTAKUA NA VAIRASI mm EXTERNAL HARD DISK NIPO LIZZY NJOO KWANGU HAHAHAHAHA
 

Nakutakia kila la heri katika kufanikisha lengo lako la kumpata mwenzio.
 
All the best Jena..usisahau kumuomba Mungu akusaidie kwenye selection process!
 
Muombe mungu nina imani utafanikiwa
 
jamani nashauri itaakuwa vema kama mtu ataweka picha yake hapa. Dada nakutia moyo utafanikisha kama kweli una nia asante!
 
Natanguliza shukrani za dhati kabisa toka moyoni kwa jinsi mlivyochangia mawazo yenu na ushauri pamoja na kunitia moyo. ninazidi kuwaomba pia mniombee maana hapa napo ni pa gumu kumjua yupi ni yupi na pia kumjua aliye serious. Ninaamini atapatikana tu.
 

arooooooooooooooo
 
Kida dada mmechangia sana. Nadhan kama mgekuwa wanaume mnge...........................
 
Kigezo kimoja tu kimenishinda sina kazi bado mwanafunzi ila vingine vyote ninavyo.

Je unaweza nifikiria??? Umri nina 35 nilikuwa nafanyakazi nikaacha nikaja kumalizia shule.

Utanifikiria fikiria??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…