Kuna habari kuwa kuna kampuni moja ya India inaitwa Karuturi imekamilisha mchakato wa kununua asilimia moja ya ardhi ya Tanzania kufanya shughuri za kilimo.Hii habari kutoka katika gazeti la the Times la uingereza.Wenye data zaidi kuhusu hili deal watoe hapa.Tutavumilia mpaka lini ufisadi huu wa CCM?