mapengo junior
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,135
- 276
Habari wadau,
Kuna siku niliona Mordem flani zinaitwa MOBILE PARTNER kwa rafiki yangu mmoja hivi sa ninaihitaji namuuliza umenunua wapi nami nikanunue ananiambia kauziwa na teja mimi hoi, sasa mwenye kujua zapatikana wapi Dar anifahamishe zinaingia laini zote unapokea na kupiga simu ikiwa katika computer.
Asanteni