'Moral flexibility' and leadership

Bado mnamtafuta aliye mpiga risasi hadharani
 
Mimi nasita kabisa kukubali kwamba Lissu hakufanya au hajafanya hayo anayopaswa kufanya.

..but u could sense kulikuwa na nia ya kumfukuza, kilichokuwa kinatafutwa ni SABABU.

..Kwa watu wenye mahusiano mazuri, na ukizingatia sababu zilizopelekea TL kutokuwepo bungeni, ungetarajia Spika awe na taarifa zote kuhusu mbunge wake. Na umma ungekuwa unapata taarifa za TL kupitia Spika au Ofisi yake.

..Hivi huko kwenu USA Chief Whip wa kambi ya upinzani anaweza kufanyiwa ubaya na Spika wa bunge kama ilivyotokea kwa TL?
 
Huko kwa spika hizi fomu ya kujaza ni za lini? mwaka huu au mwaka jana? na hua hazina deadline?.Raha sana kufanya kazi na waTanzania unawatisha kidogo tu wote mkia ndani.

Leo wameona kua Ccm waitembelee ujenzi wa daraja ili jesho magazeti yajaze habari zao na kuacha ya mh Lissu kuvuliwa ubunge. Mimi ninapiga sana alafu nawalambisha damu.
 
Moral flexibility inaendana na busara na hekima za kiuongozi.

Haipaswi kutumika kila mahala au kwa kila jambo.

Jambo la Lissu ni la kipekee sana na si la kujitakia.

Utu ulipaswa kutangulizwa mbele katika ku 'deal' naye.
Inasikitisha sana.

Utu ni muhimu kuliko madaraka yetu.
 
Moral flexibility inaendana na busara na hekima za kiuongozi.

Haipaswi kutumika kila mahala au kwa kila jambo.

Jambo la Lissu ni la kipekee sana na si la kujitakia.

Utu ulipaswa kutangulizwa mbele katika ku 'deal' naye.
Kuna mwanasheria humu? Sheria inasemaje?
 
Tunyoshe mstari hapa. Swali ni kwamba je Tundu Lissu amekiuka matakwa ya kanuni au sheria za ubunge? Jibu ni ndio.

Hakuna ajira yeyote duniani utakayolipwa riziki stahiki miaka takribani miwili bila kuwepo ofisini. Huruma ni matokeo, ila sheria ziko pale pale.

Sent from my E6833 using JamiiForums mobile app
 
Ujinga mtupu
 
Rights come with responsibilities. Hao wanaotaka kutoa matamko wangemsaidia mwenzao kutoa taarifa. Kila siku press conferences na matangazo
 
It's not Ndugai it's our Constitution, What Ndugai did just to align with the constitution

So if you have any Problem direct it to Our Constitution.
 
Brother it isn't about speaker, It's about Our Constitution
 
Madhara ya Arv, wale wadudu wakishapanda kichwani huwa wanatafuna ubongo.
 
Kiongozi yule Toka mpige mgombea mwezie

yule Hadi kuzimia, nilijua pale Hakuna kitu, si kiongozi. Nilishangaa alivyoshinda kuongonza bunge lile na wabunge wengi kushangilia...Madhara ya upungufu wa watu wasioweza ona mbali ni makubwa hasa kwenye kunci hili la viongoz...hii ndio tanzania tuliyonayo..we 'll continue to suffer until we exactly know what we need for our mother Tanzania.

Intake,uvyama, ukabila, uswaiba, na udini ndivyo vinavyotuangamiza, kama kwamba kwa sababu tu ya mahaba ya kimoja wapo hapo juu,,, watu wengi hujitoa ufahamu.

Mungu ilinde Tanzania kipindi Hiki kipite

#Magufuli is a president of our times# if you don't understand this pita kushoto
 
Kwa sisi wafuasi kristo yesu alichokifanya Ndugai ni sahihi?
Kama Ndugai hayuko sawa.Sisi wafuasi wa kristo tunaongozwa na viongozi wetu kwenye makanisa kwa niaba ya kristo mbona hawakemei unyama huu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…