Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,252
- 144,315
- Thread starter
-
- #21
Hon NN, do you think what has just happened has anything to do with one among many of resolutions of the sitting of the ruling party executive committee meeting ?
Vizuri Sana nn. Sasa kama hiyo busara haikuonekana wakati wa mafuriko ya bukoba je unategemea ije ionekane leo hii kwenye kikao Cha NEC?Moral flexibility inaendana na busara na hekima za kiuongozi.
Haipaswi kutumika kila mahala au kwa kila jambo.
Jambo la Lissu ni la kipekee sana na si la kujitakia.
Utu ulipaswa kutangulizwa mbele katika ku 'deal' naye.
Not only unnecessary decision but also unjust in the eyes of the wise.I haven't a clue.
All i know is it is very unnecessary.
Vizuri Sana nn. Sasa kama hiyo busara haikuonekana wakati wa mafuriko ya bukoba je unategemea ije ionekane leo hii kwenye kikao Cha NEC?
Moral flexibility inaendana na busara na hekima za kiuongozi.
Haipaswi kutumika kila mahala au kwa kila jambo.
Jambo la Lissu ni la kipekee sana na si la kujitakia.
Utu ulipaswa kutangulizwa mbele katika ku 'deal' naye.
..KWELI TUPU.
..sina uhakika kama wamewahi kufikiria machungu aliyopitia mwenzao.
Ngabu, Salute to you Brother.
Sijui unakuwaga na nini yaani kuna muda una squirt kuna muda unaparua kwa makucha ,kuna muda unazimia ,kuna muda unalia kuna muda unajamba
Dah tafuta moja usimame nalo kama ni kujamba ,jambaaa wee
Hamna kitu hapo ,huwa anavyo muongelea Lisu halafu leo sijui anajikuta ana moral ground ya kushangaa Ndugai kumfutia Lisu ubunge wake ?Shetani wake huwa anamtoka na kumuingia, sasa akimtoka akili zinakuwa sawa he see clearly the big picture.
Msukuma anamkosoa msukuma,hovyo tuThis news of Speaker Ndugai stripping Tundu Lissu of his parliamentary membership is not sitting well with me.
The reasons given are him [Lissu] not officially apprising the parliament about his convalescence while being seen gallivanting around Europe and the US and not filling out some form for the ethics committee or something like that.
Now, I get the whole idea of doing everything by the book and all that jazz.
I don't know if Lissu has actually done what is said he hasn't done.
I have a sneaky feeling that he'll probably contradict all of those given reasons for him getting booted off parliament.
I think there is no denying in the fact that he has suffered a lot. There is also no denying that even before that tragic afternoon event on September 2017, he was thoroughly and repeatedly harassed a lot by, some would argue, the powers that be.
Be that as it may, there is no need to add to his suffering.
Sometimes it is wise to have what I call 'moral flexibility' and actually use it.
In Tundu Lissu's case, I think the Speaker of Parliament could have used 'moral flexibility' in handling him.
Harassing a person who survived a dastardly assassination attempt is not right.
Very unnecessary.
Kabisa mkuu,moja kati ya majitu ya hovyo kabisa ni mtoa madaSijui unakuwaga na nini yaani kuna muda una squirt kuna muda unaparua kwa makucha ,kuna muda unazimia ,kuna muda unalia kuna muda unajamba
Dah tafuta moja usimame nalo kama ni kujamba ,jambaaa wee
Nn busara ikikosekana kwa Mara ya kwanza tutasema ni bahati mbaya,Mara ya pili tutasema ni kosa na Mara ya tatu iyo Ni tabia. Na tabia haina dawa. For me sikutegemea baada ya NEC upinzani usiguswe period.....ngoja nikalale mieeeKwani aliyemvua ubunge Lissu ni kikao cha NEC au ni Spika Ndugai?
Kukosekana kwa busara kwa lile si kukosekana kwa busara kwa hili.
Ni kama vile wanataka aendelee kuteseka.
This news of Speaker Ndugai stripping Tundu Lissu of his parliamentary membership is not sitting well with me.
The reasons given are him [Lissu] not officially apprising the parliament about his convalescence while being seen gallivanting around Europe and the US and not filling out some form for the ethics committee or something like that.
Now, I get the whole idea of doing everything by the book and all that jazz.
I don't know if Lissu has actually done what is said he hasn't done.
I have a sneaky feeling that he'll probably contradict all of those given reasons for him getting booted off parliament.
I think there is no denying in the fact that he has suffered a lot. There is also no denying that even before that tragic afternoon event on September 2017, he was thoroughly and repeatedly harassed a lot by, some would argue, the powers that be.
Be that as it may, there is no need to add to his suffering.
Sometimes it is wise to have what I call 'moral flexibility' and actually use it.
In Tundu Lissu's case, I think the Speaker of Parliament could have used 'moral flexibility' in handling him.
Harassing a person who survived a dastardly assassination attempt is not right.
Very unnecessary.
..Spika kabla ya kufikia uamuzi mzito kama huu alitakiwa awe na SOLID EVIDENCE kwamba TL amekataa kujaza fomu ya maadili, na hataki kumpa ushirikiano wa kupata taarifa za maendeleo ya matibabu yake.
..that is the least I would have done kama mimi ndiyo ningekuwa Spika.
..zaidi, Spika alitakiwa am-consult Kiongozi wa Kambi ya upinzani, kabla hajachukua
uamuzi unaopelekea kambi hiyo kupoteza mbunge wake.
..Ni bahati mbaya sana kuwa kama nchi tumefikia hapa tulipo. Kwanini viongozi wetu wanatendeana visivyo?