Mood swings...wadada mbona mnakuwa hivyo?

Mimi nilipata bahati, alipobeba mimba akanipenda sana yaani akawa anatamani awe na mimi wakati wote, nikitoka kwenda kazini simu karibu siku nzima, nikirudi nyumbani yuko kifuani wakati wote naguswaguswa na kutekenywa, mpaka akawa anavaa mashati yangu ili ajihisi niko karibu naye. Niliipenda hiyo! Kizazaa sasa alipojifungua, lol (hiyo sitasimulia).
Kwa kuwa tunawapenda, basi tutavumilia yote.
tusimulie tu kaka masahibu yako..cha msingi ni kuicontrol hali yoyote itakayojitokeza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom