Siku ya leo, moto mkali umeshika mgahawa mmoja huko Goma.
Uongozi wa jiji la Goma, uliomba msaada jeshi Polisi nchini Rwanda, kitengo cha zimamoto; MONUSCO, na yenyewe inasemekana ilileta gari kwa ajili ya msaada, na kukuta kazi imeshamalizwa na RNP(Randa National Police).
MONUSCO, kupitia ukurasa wake wa X, ikatangaza kussaidia raia wa Goma na kwamba imezima moto huo. Raia wameivaa na kuikemea vikali.
Attachments
@MONUSCO Ils ont maîtrisé quoi Ici Les pompiers de la Police Rwandais ont interv.mp4
2.6 MB
Rwanda 🇷🇼, Asante kwagusaidia watoto wa Goma 🇨🇩. Jilani ni ndugu kabisa. #Rw.mp4