Montana Khamenei Mojtaba Khamenei! Mojtaba Khamenei hatuko naye

Montana Khamenei Mojtaba Khamenei! Mojtaba Khamenei hatuko naye

Katika Mashhad Ardehal, mnara mpya ulizinduliwa kwa heshimu ya watu mashuhuri wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran walioangamizwa na Majeshi ya Israel miongoni mwao ni Gaidi Mojitaka Khamenei amejumuishwa katika orodha ya Magaidi walioangamizwa na Majeshi ya Israel.

Iran imekuwa ikificha sana taarifa za magaidi walioangamizwa toka vita hii ianze lakini pamoja na kubana sana hatimaye wameachia wameweka wazi kwenye uzinduzi wa mnara huo wa mashujaa.

Hii inaonyesha wazi huko Iran hakuna kiongozi ndiyo maana kila mtu huko ni msemaji maana wanajua wazi Majitaka Khamenei alisharambishwa mchanga siku nyingi!!

Najua Wafuga Midevu na Majini hampendi kabisa habari hizi niziseme na kuna wengine watajifanya hawaioni hii post na wengine watadai hawana bundle na kuna wengine majini yatawapanda na wataanza kunishushia matusi tu!!
Huko mbinguni Mungu,Yesu na Malaika ni nderemo na vifijo wakifurahia mauji ya watu hao.
 
Huko mbinguni Mungu,Yesu na Malaika ni nderemo na vifijo wakifurahia mauji ya watu hao.
Kwani waislamu wana Mungu? Wao wana Allah!!

Kwani waislamu wana Yesu wao wana Mtume wao!!
 
Hivi hauna habari synagogue la wayahudi pale Tehran lilipigwa bomu? Una maoni gani kwa wayahudi wenzako waliouwawa hapo Tehran?

Hii vita sio ya kidini

Heeeeh... Unanipa na kabila la Uyahudi? Nikisema makobazi hawana akili nakosea kweli? Mi najua wewe ni mmatumbi(mswahili) ila wewe kwa akili zako za kikobaz unahisi mimi Myahudi?
 
Back
Top Bottom