mhalisi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,181
- 322
wadau kuna kampuni nimekuwa nikiisikia kwenye vyombo vya habari inaitwa "Montage Tanzania Limited" ambayo mkurugenzi mtendaji ni Bi.Teddy Mapunda ambaye siku za nyuma alikuwa ni mkurugenzi wa mahusiano Serengeti Breweries. je, Montage ni kampuni inayoshughulika na nini kwa wanaofahamu?