Monkey_jorney to the west

Monkey_jorney to the west

Pomole

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
257
Reaction score
8
Wana jf,naomba kama kuna mdau anajua wapi naweza kuipata series yote ya hii filamu _drama inaitwa journey to the west aumaarufu kama monkey anijuze.kuna wakati ilionekana katika local tv ila sijaweza kuipata.
0023ae606f170b4d19b92a.jpg
monkey-journey-to-the-west-travelers-walking-to-th.jpg
monkey-king-journey-to-the-west-guan-ying-pigsy-an.jpg
 
Asante sana nitapita pale nijipatie nakala,drama nzuri sana kwa watoto hizi
 
nimeiona jana dvd yake katika mitaaa ya ubungo bus terminal pale nje kwa wauza cd nyuma kidogo ya kituo cha mabac cha kuelekea mjini
 
nimeiona jana dvd yake katika mitaaa ya ubungo bus terminal pale nje kwa wauza cd nyuma kidogo ya kituo cha mabac cha kuelekea mjini

asanteni wadau,weekend hii nitapita maeneo hayo
 
Bonge la story ya Kichina hii, nilisoma kitabu chake some twenty years ago.
 
Back
Top Bottom