Tatzo lako umeanza kutumia smartphone ulivyokuja kwa mjomba na ulivyoona Kuna jf na ulivyojiunga ukadhan ww pekee ndio unajua kupost..
Sio kosa lako,, walikuwepo akina @albosthnus, @mpigamsuli, wote hao walikuwa na vituko zaid yako lakn mpaka leo walikopotelea hawajulikani hvyo hata ww tunajua tatzo lako, tunajua ukirudi kijijin kwenu huku ukitumia simu ya aitel ya tochi na kwenda kuchaji kwenye solar ya mwenyekiti wa mtaa hapo ndio mwisho wa kuiona Id yako humu. Wakat utasema tu tusubir kama mm mwongo