Monica Arnold huyu dada hazeeki kabisa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Monica Arnold huyu dada hazeeki kabisa!!!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by King Kong III, Feb 22, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nikicheki video yake ya mwaka 1995(Don't take it personal-Just one of dem days) wakati ana miaka 15 na Hii ya sasa hivi aliyoitoa Sept 27 2011(Until its gone,akiwa na miaka 32) naona yupo vile vile,anamaintain sana mwili wake.Nini siri kwa wanaojua nataka nimuelekeze demu wangu abaki naye hivi hivi.

  Nawasilisha.

  Mwaka 1998:
  MN1--98.PNG

  Mwaka 2002:
  [​IMG]

  Mwaka 2011:
  mn4--2011.PNG

  Mwaka 2012:
  best monica-2012.JPG
  monica2012.PNG
   
 2. Jini Mapembe

  Jini Mapembe Senior Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Monica kazaliwa 1980!

  Bado ana safari ndefu sana kuelekea uzeeni. Tena na vile yuko majuu akila bata na mbatata, ndiyo kabisa atazidi kunawiri kama shina la mgomba!

  Angekuwa ni mla vumbi kama kina Ray C basi tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Yes amezaliwa 1980,lakini ukicheck mwili wake alivykua ana miaka 15 na sasa ana miaka 32 yani tofauti ni ndogo sana! Mtoto bado mbichi even thou ana watoto wawili.
   
 4. jacjaz

  jacjaz JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
   
 5. Jini Mapembe

  Jini Mapembe Senior Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Genetics, genetics, genetics. Couple that with a good life you get a forever young looking lady.
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  For god sake you are comparing when she was teenager and now and adult with just 15years old age difference! Wait another 15 years for proper comparison with her current age.


  Another thing is just matter of taking care of oneself, hata wewe utakuwa bomba in another 20 years time.
   
 7. Triple G

  Triple G JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Mkuu weka picha,sio wote tunaomfahamu,
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ni kweli uyasemayo,pia si umeona kuna wengine watoto lkn ukiwacheck washazeeka we mcheck Rueben sorry 2004 na huku bongo mtoto mdogo wa miaka 25 ukimcheck kama mzee!!!
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Weka picha arifu......tulinganishe......bila picha sikubaliani na wewe....

  mifano kama hii
  Ray c kushoto enzi zake...
  [​IMG]
  hapo alikuwa kabichi bichi kanatangaza Dr beat klauzi.....kati kati ni lady jay dee na kulia ni masudi kipanya...

  [​IMG]
  miaka ikaenda kabinti ray c kakawa kazuri kweli kweli hapo alikuwa hajaanza kunywa safari beer na kuvuta bangi kwa wingi....
  [​IMG]

  ray c kulia....hapo ni pombe miksa bangi..
   
 10. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kuna wa2 wanachelewa kuzeeka hapo unakuta ndo yuko kwenye adolesenc
   
 11. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  Siku za Miaka yetu ni Miaka 70.............
   
 12. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hata Narubongo hazeeki
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nishaziweka
   
 14. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  uzee unamambo mawili umri au ukwata
   
Loading...