donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Konichiwa,
"Catalyst is a substance that increases the rate of a chemical reaction without itself undergoing any permanent chemical change"
Kuna msemo mmoja sijui nani aliusemaga unasema, "whoever said money can't buy happiness was probably broke" nafkiri una maana kubwa sana ukiangalia katika jicho la tatu. Wanasema money makes the world go around (apart kwa watu waliojitenga na ulimwengu kama Buddhist monks na watawa mbalimbali ambao wenyewe hawataki kabisa kusikia wala kujua yanayojili ulimwenguni. Out of topic, kuna documentary moja niliangalia ya ma shaolin monks, kuna mwamba Huyo ali-take a vow of silence, ana miaka 25 hajawahi kutamka neno lolote aisee.)
Sasa tunapokuja kwenye swala zima la mahusiano(relationship), hapa mpunga ndio una play part kubwa sana whether we like or not. Kuna watu hua wanaclaim kwamba wapenzi wao they don't care about the money, they got real love lakini katika moja na mbili bado "catalyst" itaendelea kuplay part. Kuna jamaa yangu mmoja enzi tuko chuo pale city centre kama mnavyoelewa pale utafikiri watoto hua wanachaguliwa spesheli jamaa aliotea pini moja matata sana wakati ndio kwanza tumeingia first year. Yule mtoto alikua bado hajaielewa kama ni mkali maana alikua ametokea shule za girls tupu na ndio it was the first time ana interact na kujikuta anasoma na jinsia tofauti for the first time so mwanang simply "alitema mate kushoto akafukia kulia". As I said earlier, mpunga ni mpunga tu. Mwanang alikua ananitambia ana manzi mkali halafu Yuko so simple wala hana mbwembwe wala hajawahi kumuomba hata mia, I told him let's wait and see. Mapema tu 2nd year, mhuni mwingine akadaka namba ya Mandi akaanza kuchat nae kimasihara. Mwanang akituma sms za hi,yellow, how are you? Mhuni unakula sms " how about lunch?" Haikuisha hata semester mwanangu akachekewa mbavuni. What am tryna say is japo si lazima umfurahishe mwenzi wako kwa ma luxuries au mazawadi makubwa makubwa (mkono hujikuna pale unapofikia), lakini even little things matter. Ukute mpenzi wako anapenda sana singeli, basi hata siku moja unamtoa out kwenye show ya sholo mwamba. Ukitaka kuamini mpunga una play part kwenye mahusiano, we gombana na mpenzi wako halafu ukute mna kama week hamuongei wala kusalimiana halafu ghafla unamuibukia kwake ku-apologize Huku umemletea zawadi ya iPhone 11 uone. Unaweza ukaomba ndoa siku hiyo hiyo akakujibu "kwani parokia gani ipo karibu?"
Nice weekend.
Sent using Jamii Forums mobile app