Money talks my friend

Mshana Jr huyu marehemu sio pesa tu, kikubwa ana CLASS. Wapo wengi tu wanapesa ila wanajenga vitu vya ajabu vya gharama kubwa. Hio mandhari utafikri ni Swiss Alps sehemu ambazo kila mtu anaota akastaafu huko. Huu ukoo ni defination ya class hapa Bongo.
 
Huyu Mzee hakua na makuu, hii nyumba hata hatukuijua tena mpaka jana alipopelekwa kwao, Dah Mungu atusaidie tuwe wanyenyekevu mbele zake na watu wanaotuzunguka
Nikiangalia Nyumba ya mzee Mengi Leo nimeelewa kwanini kwenye mkataba wa nyumba nilipopanga kichwa cha Habari kimeandikwa *MKATABA WA KUPANGISHA PANGO*
 
Safi Mzee umepata uponyaji maana ile ya Jeneza kushushwa na Foko ilishakufanya uone pesa si kitu
Tutofautishe muktadha wa mada... Hivi una habari pamoja na uzuri wote wa jeneza la gharama na kilichimo ndani ni kitu kinachooza kila dakika? Na huwezi kuendelea kukiweka?
Between mada hii haiondoi ule uhalisia wa jeneza kubebwa na folk lift toka kwenye ndege na haiondoi uhalisia wa jeneza kupewa jina la cargo na kuwekwa sehemu ya mizigo
Hii ni nyumba na lile ni jeneza huwezi kuvichanganya hivi viwili hata siku moja... Japo moja ni nyumba ya muda na nyingine ni ya 'milele
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…