Money Heist VS Squid Game

Mafanikio ya movie yanapendeza kukiwa na kiwango fulani cha uhalisia kwenye mambo ya msingi kuhusu main characters.

Kwenye Money Heist Secretary wa benki anawazidi ujanja special forces. Computer programmer ghafla kawa komando. Hapo ni story ya kitoto.

Anyway, ila Money Heist niliipenda na kuenjoy ingawa mapungufu yake yako wazi. Na si ajabu haikupata highest rates kuendana na hype yake.

 
Kweli kabisa..Kila mtu Kuna namna anapenda series iwe..kwa mfano Kuna watu wanapenda bunduk/risasi zipigwe mwanzo mwisho Kama strike back..wngine wanapenda mapanga Kama Vikings..wengine wanapenda complicated Kama Lost.. wengine ma zombie..Kama the walking dead..wengine ujasusi Kama The Americans..wengine madawa Kama narcos..n.k
 
Mwana arusha mwenzangu unaniangusha


Lakini wanaosema money heist nzuri ni watoto wa 2000 kwa hio sio mbaya dogo...
Prison break sidhani hata umeangalia wewe
 
Mwana arusha mwenzangu unaniangusha


Lakini wanaosema money heist nzuri ni watoto wa 2000 kwa hio sio mbaya dogo...
Prison break sidhani hata umeangalia wewe
Hahahaha Prison Break nimeiangalia since 2009 nipo O levelk. Ni nzuri sana ila Money Heist sio ya kufananisha na Squid Game.
 
Kwani miezi 5 waliyoakaa kule kambini akina Rio walikuwa wanajifunza Nini?
 
Vipi yule polisi alivyoingia kirahisi kabisa mule ndani, eti sehemu ya kupokelea simu Haina CCTV, sehemu ya kutunza mafaili Haina CCTV.
 
Uache kufananisha viazi na mihogo
 
Money heist ni series yenye uongo uliopitiliza, inawezekana vipi askari mjamzito tena anakaribia kujifungua akaingia kwenye mission ngumu kama zile za kupambana na majambazi?

Inawezekana vipi kiongozi mkubwa wa kipolisi kujiunga kwenye kundi la kihalifu kirahisi tu ?

Wangejitahidi kuweka matukio yao kwenye ukweli kidogo series ingekuwa poa........ Squid game ni nzuri zaidi for entertainment na kuna baadhi ya vitu vinakufikirisha, Mfano mchezo wenyewe ulikuwa unaonekana ni illegal na ndyo maana waliokuwa wanachezesha ile michezo walikuwa wakifanya siri hata walipokuwa wakiwachukua washiriki walikuwa wakiwapulizia dawa na kufika eneo la tukio bila ya wao kujua walipita wapi na sehem walipo pia walikuwa hawajui ni wapi.
 
HAYO NI MAPENZ TU ILA KWA FUNDI WA KUANGALIA NA KUFATILIA MOVIE UWEZ CRITISIZE MONEY HEIST KWA HOJA KAMA ZAKO.TUNAKUBAL SQUID GAME WAMEJITAID KULETA LADHA TOFAUT.ALAFU UNAPOTAZAMA SERIES AU MOVI ZA MBELE JARIBU SANA KUA MAKN UNAEZA LAUM KUMBE UFUATILII MOVI. IIKO IVI

MONEY HEIST
KATIKA TAIFA LOLOTE DUNIAN AKUNA KITU MUHIM KAMA WANANCHI/RAIA NA NYARAKA ZA SERIKAL MONEY HEIST WALITEKA MATEKA IVO ILIKUA HAINA JINSI SERIKAL ILIKUA HAIEZ TUMIA NGUVU TENA MATEKA 30 MAJAMBAZ 10 FIKIRIA YAN WARUHUS KUJIBZANA NA MAJAMBAZ KUZUIA PESA AFU WAUE RAIA NI NGUM HATA WW UNGEKUA INCHARGE ILI BID UWE MPOLE,CHENGNE PROF ALISOMA ALL RISK AND EXPECTATION ZA MAAFANDE NA TULIONYESHWA KUNA MDA ANAFELI NA KWELI ANAHANGAIKAGA
 
Hajui kitu kuna matukio mengi tuu ya utekaji yametokea na polisi wamechukua muda kuyasolve
 
Vipi yule polisi alivyoingia kirahisi kabisa mule ndani, eti sehemu ya kupokelea simu Haina CCTV, sehemu ya kutunza mafaili Haina CCTV.
Unaona sasa! Ile movie ingawa nzuri script yake haikukaa sawa.

Na ile gay theme wameilazimisha ila haina maana yoyote na haiendani kabisa na movie. Walitafuta gay fans tu.
 
Mmmhhhh ila hiziii kwa strikeback watulieeee tuliiiiiii wazeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…