Money Heist bado wanaendelea kutugandisha pale pale.

Mkuu ndo nimemaliza kuishusha hapa,nataka mida ya mchana nikaifanyie kazi
 
Baada ya Nairobi sasa ni Tokyo?
Money Heist naona wanataka kutubakiza tu kuwafuatilia. Season 5 imeisha ila bado wapo pale pale walipoishia Season 4. Mbaya zaidi Tokyo nae amekufa, team ya Professor inapigiwa mwingi sana.
Sad but I like Professor akiwa kwenye nyakat ngumu
 
Niliacha kuifatilia ilipofika season 4 na sitaingalia labda km kitakuwa na kipya.

Sikuhizi hizi seasons Kuna vitu inamiss ama inazidisha mpaka unaona story mbona km uongo unakuwaaa mwingiii japokuwa huwa ni uongo Ila unakithiri
 
Kaangalie mzee kuna unyama mwing kwenye hii ya 5
 
Niliacha kuifatilia ilipofika season 4 na sitaingalia labda km kitakuwa na kipya.

Sikuhizi hizi seasons Kuna vitu inamiss ama inazidisha mpaka unaona story mbona km uongo unakuwaaa mwingiii japokuwa huwa ni uongo Ila unakithiri
Bado ni nzuri sana tu... Tatizo ni kwamba tupo excited kujua what's next? Bado hawajatoka mule bank ni series ya matukio tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom