De maestro
Member
- Feb 15, 2013
- 25
- 4
Hivi mapenzi bila hela yanadumu
Hivi mapenzi bila hela yanadumu
Itategemea........kama una mvuto naweza kukuvumilia utafute.......
Itategemea........kama una mvuto naweza kukuvumilia utafute.......
Mvuto ndiyo utakujaza mimba? Mtakula mshibe mvuto?
Luku mtajaza mita kwa mvuto?
Mtaweka airtime simu zenu kwa mvuto wa kuipenda kampuni ya Voda?
Shem mvuto tupa kuleee!
Ukibisha utakua una asili ya Keigii .
Mi mwenyewe nazitafuta shem......kwani unadhani sisi wenyewe wallet zetu nyembamba.....itategemea utakuwa umenivutia kiasi gani.......kitakachonishawishi nifungue wallet yangu.......au unafikiri hatumiliki wallet.......?
Tanga moja hiyo! !Ntamvumilia. Mapenzi kwanza
Wallet mnazo lakini Hasi !
Za kwetu Chanya.