Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,844
- 21,299
KARIBU NYUMBANI KWA ALIYEKUWA MZALENDO EDWARD MORINGE SOKOINE MH RAIS USISAHAU KWENDA KUZURI KABURI LA MTU MLIYEFANANANAE KIUZALENDOLeo mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi, Dkt. Magufuli yupo Arusha na Monduli akiendelea kunadi sera na ilani ya chama cha Mapinduzi kuomba ridhaa ya kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili.