Uchaguzi 2020 Monduli: Yaliyojiri kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea urais kupitia CCM Dkt. Magufuli

Leo mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi, Dkt. Magufuli yupo Arusha na Monduli akiendelea kunadi sera na ilani ya chama cha Mapinduzi kuomba ridhaa ya kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili.

KARIBU NYUMBANI KWA ALIYEKUWA MZALENDO EDWARD MORINGE SOKOINE MH RAIS USISAHAU KWENDA KUZURI KABURI LA MTU MLIYEFANANANAE KIUZALENDO
 
Wewe muongo mimi natizama hapa naona leo watu wanasheherekea uzinduzi wa reli iliyokufa na sasa amfufuliwa tena baada ya miaka 30
 
KARIBU NYUMBANI KWA ALIYEKUWA MZALENDO EDWARD MORINGE SOKOINE MH RAIS USISAHAU KWENDA KUZURI KABURI LA MTU MLIYEFANANANAE KIUZALENDO
Tabia zao zinafafana za kuumiza watu na kuwafanya wawe masikini ili wapate furaha,soon nae atasomwa kwenye historia Kama huyo aliyelala
 
Sasa ulicheka nini? Utakuwa hamnazo wewe!
Nimecheka jinsi mnavyolazimisha wanafunzi kuvaa minguo yenu na kuwaamrisha waende kujaza uwanja eti mseme wafuasi wengi wamehudhuria.

Enzi mimi nasoma mbona CCM hamkuwa na ujinga huu? Niliwahi kuhudhuria mikutano yenu hasa kampeni za Ubunge bila kushurutishwa na nikiwa na Uniform za Shule kama kawaida bila kuvalishwa Minguo yenu hiyo...

Hivi hizi ndio kampeni za kisayansi kweli za kulazimisha na kusomba watu...

Wenye akili zao wanachora tu huku wakiendelea kuwalia hela zenu(ambazo ni kodi za watanzania wote).

Kinachowabeba ni ushindi kwa msaada wa polisi,TISS na TUME tu.
 
Akili yako itakuwa na mapungufu mengi sana! Hivi kweli kuna watz wanaweza kulazimishwa kwenda kwenye mikutano ya kisiasa? Tofautisha kulazimishwa na kushawishiwa!
 
Kwa hali ilivyo Arusha asubuhi hii Magu anajiharibia sana...
Yaani huwezi amini harakati zote za usafiri wa magari ndani ya jiji lote la Arusha na viunga vyake zimesimamishwa...
Magari yamezimwa barabarani.... Abiria wote wanasonya na kutoa viapo vya kutenda kweli 28.10.2020

NB: Jana walisomba wanyonge kutoka vijijini wakaja kuwatelekeza stadium bila hili wala lile...!!

Hakika wasiojitambua tu ndo watakipigia kura ccm...!
Mnahangaika Sana vibwengo nyie..makelele yenu ya mitandaoni haimzuii tembo kunywa maji
 
Dogo atakua alivuta mpunga , mm yupo mdada hua ananiambia kiukwel ccm siipendi hata , sema kwenye campeni zao hua anahudhuria na kuvaa jezi kabisa , anasema hua nikienda kule hua navuta mpunga ndio maana
Ili akufurahishe ulitaka ukuambieje!? Hii Ni sawa na demu akuambie mimi yule jamaa simpendi ila uwa nalala ghetoni kwake.(ndo ashagongwa hivyo)
 
Huku hawawezi kurusha ili wasiumize wanafunzi wa shule
Mkuu uko vizuri.....jana ile idadi ya wanafunzi waliokuwa wanafurika kwenye kampeni za Magufuli Sheikh Amri Abeid kama mikutano yake yote nchi nzima ndiyo ilikuwa style hiyo basi Mzee wa watu wamemhujumu
 
Nimecheka jinsi mnavyolazimisha wanafunzi kuvaa minguo yenu na kuwaamrisha waende kujaza uwanja eti mseme wafuasi wengi wamehudhuria.

Enzi mimi nasoma mbona CCM hamkuwa na ujinga huu? Niliwahi kuhudhuria mikutano yenu hasa kampeni za Ubunge bila kushurutishwa na nikiwa na Uniform za Shule kama kawaida bila kuvalishwa Minguo yenu hiyo...

Hivi hizi ndio kampeni za kisayansi kweli za kulazimisha na kusomba watu...

Wenye akili zao wanachora tu huku wakiendelea kuwalia hela zenu(ambazo ni kodi za watanzania wote).

Kinachowabeba ni ushindi kwa msaada wa polisi,TISS na TUME tu.
Hivi unajua maana ya kulazimisha?
 
Ili akufurahishe ulitaka ukuambieje!? Hii Ni sawa na demu akuambie mimi yule jamaa simpendi ila uwa nalala ghetoni kwake.(ndo ashagongwa hivyo)
Ungejua hata sio dem Wangu , ni jiran yangu , aliniambia mwenyewe pasipo hata kumuuliza , alikua anajifurahisha nafsi yake tuu
 
Kwa hali ilivyo Arusha asubuhi hii Magu anajiharibia sana...
Yaani huwezi amini harakati zote za usafiri wa magari ndani ya jiji lote la Arusha na viunga vyake zimesimamishwa...
Magari yamezimwa barabarani.... Abiria wote wanasonya na kutoa viapo vya kutenda kweli 28.10.2020

NB: Jana walisomba wanyonge kutoka vijijini wakaja kuwatelekeza stadium bila hili wala lile...!!

Hakika wasiojitambua tu ndo watakipigia kura ccm...!
Wewe mmoja unasonya, watanzania zaidi ya mil 29 tutamchagua huyu Mzalendo. Ninyi bakini nia majizi, masagaji na mashoga yenu sisi tunasonga mbele kwa mbele na Magufuli mpaka 2025.
 
Back
Top Bottom