Monduli Vs Chato kimaendeleo kwa ujumla wake!

Mnapolinganisha jaribuni kuwa wakweli, monduli ni Wilaya toka Uhuru, chato imeundwa wakati wa kikwete. Monduli kuna taasis ya serikali kama TMA, monduli pia imewahi kupata mawaziri wakuu wawili, lowasa amekuwa Mbunge mapema kabla ya magufuli.kwa hiyo hoja hii ni falacy na kujilisha upepo.
 
Agenda ya vijana ni ajira zenye staha, siyo mabadiliko ya mavazi ya watawala..Magufuli ndo mwenye mipango bora ya ajira kwetu vijana.
 
Hawa wamasai wanaotangatanga na ngombe wao hawatoki monduli? Basi lowasa atakuwa mbinafsi sana.

mkuu wamasai wapo wengi kuanxia kiteto manyara mapaka naivasha kenya.mondoli ni kama tone la maji tu
 
Kitendo cha kutoa maji mlima Meru mpaka Monduli ni balaa kwa wanaojua geographic location ya maeneo hayo.
 
For only two years

Shule za kata

Chuo kikuu cha UDOM

Maji kutoka Victoria mpaka Shinyanga

.....................

Jamaa anaweza aise .....................
 
Kisha ongezea kwenye swali lako nani aliyeitia zaidi serikali hasara? Nani aliyeiba mpunga mwingi kuliko mwingine?
 
Tofauti kubwa ya Chato na Monduli ni kwamba;
Monduli wana Lowasa na Chato wana Magufuli.
Na sifa zinazofanana ni Majimbo yote mawili yametoa wagombea wa nafasi ya urais mwaka huu
 
Kisha ongezea kwenye swali lako nani aliyeitia zaidi serikali hasara? Nani aliyeiba mpunga mwingi kuliko mwingine?

Huyu unaemuona malaika kaitia serikali hasara zaidi. Anzia Mwz yeye pamoja bw. Tizeba walipofanya maamuzi yalioigharmu serikali mabilion, meli ya uvuvi (samaki wa Maghufuli), 10 percent ya barabara zinazokufa kwa miezi mitatu.

Mambo ya Richmond ni uzembe wa serikali kushindwa kuchukuwa hatua, ukizingatia Mwakyembe alisema bungeni kuna kurasa 5 anziacha kwa sbb zinamgusa mkuu.
 
Duh! Kumbe enhee? Lakini mbona umekurupuka bila hata ya kufanya utafiti nani katafuna nyingi, manake wote wameshatutia hasara, na bado wanataka kutafuta zaidi. Mradi wa gesi ndio umetolewa macho zaidi na ndio maana watu wapo tayari kutumia hela nyingi waingie ikulu kwani wanajua faida yake ni kubwa zaidi.
 
Jambo la Gesi na Mafuta tuwalaumu wabunge wa ccm kwa kutanguliza maslahi ya chama chao badala maslahi ya taifa kwa kupitisha miswada ya kishenzi ili mkuu ahakikishe anasaini kabla ya kutoka kwa kuwa wanamaslahi nayo. Ujasiri unatakiwa ili ccm kwanza ikae pembeni watu watajipanga, lakini mkiingia kwenye hiyo gasi na mafuta na hawa ccm usitarajie chochote itakuwa kama dhahabu 3 percent.
 
Back
Top Bottom