Monduli: Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo hilo Atoroka ofisini na kuzima simu bila kuwapisha mawakala wa CHADEMA

Wewe ndio mfu hujui hata kinachoemdelea ndani ya nchi hii ye yenye uongozi wa laana.
Kwanini wanang'ang'ania kuweka wagombea kwenye nchi yenye uongozi wa laana??

Vilio vya samaki hivi......bure kabisa.

Wanasiasa hawana faida yoyote hawa, wapiga makelele tu.
 
Hivi kweli hamna mtu wa kujisacrifice kutia adabu hawa wakurugenzi badala ya kulalamika tu na busnes as usual?Upinzani nchi hii ni waoga sana,onyesheni njia badala ya kuishia kulalamika!!!!Msipobadili strategy huko mbeleni hali itakua mbaya zaidi wameishajua wote ni wapiga mayowe tu!!Hakuna diplomacy kupambana na shetani/dictator
Peleka ujinga wako chooni!
 
Kwanini wanang'ang'ania kuweka wagombea kwenye nchi yenye uongozi wa laana??

Vilio vya samaki hivi......bure kabisa.

Wanasiasa hawana faida yoyote hawa, wapiga makelele tu.
Ndio tunatak uongozi wa Laana uondoke tupate wenye baraka na mafanikio. Nakwambia kwa Mbinu hizi Upinzani tunaionesha dunua hali halisi Ya Utawala wa Sasa. Wananchi wanaona ndio maana wapo pamoja na sisi. Na haya ni mafanikio kwà upinzani kama hujui.
 
Wahuni hawa chadema.

Sijui ni kwanini hawataki kuitumia MAHAKAMA kupata haki!

Baadhi ya vifungu katika kanuni na sheria za uchaguzi ni vifungu vibovu ambavyo wangeweza kwenda mahakamani kuvipinga vikawa nullified. (mfano, wakurugenzi kutangaza matokeo)

Au hata tu kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyogubikwa na wizi na ukiukwaji wa taratibu.

Wapinzani mfu hawa.
Well said walahi
 
Hizi zote ni ishara za mambo yaliyojificha ambayo yatadhihirika. Waliosema ujanja mwingi mbele giza hawakukosea. Hizi kanuni za mapambano zinaweza kufundishwa darasani kweli? Au kurithisha kizazi kinachofuata? Je zinaweza kuandikiwa kitabu na mwandishi akajisifu ametoa kitabu chenye mafunzo mazuri kwa wasomaji wake?
 
Wapinzani nendeni duniani kote mkatangaze kinachoendelea..Wacongo wamefanikiwa Kabila kachimbiwa biti na wazungu hachukui fomu ya kugombea tena....
 
Nyumbani kwake hampafahamu? Mfungieni ndani mmwage pipa la petrol the rest you will figure out yourself!!
 
Ccm hamna kitu wamekataza mikutano ya kisiasa wao wanafanya bado wanapumulia mashine wanaiba kura hadi wanachapia bado wanapumulia mashine

Chama kinakubalika bado kinaiba kura magufuli anajipiga chenga mbaya sana nchi ipo kwenye vuguvugu la mabadiliko watapata tabu sana.
Duuh
 
Tuna usalama wa Taifa, ina maana Usalama wa Taifa haya hawayaoni au?
Nilidhani kazi adhimu kabisa ya usalama wa Taifa ni kuintervene kwenye mambo ya msingi kams haya ili thamani ya kura ya mwananchi iweze kuheshimika!
 
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Monduli amegoma kuwaapisha mawakala wa Chadema waliowasilishwa na chama kwake ili kuziba nafasi ya mawakala waliokamatwa, kutekwa na wengine kurubuniwa na ccm hivyo kujitoa.
Msimamizi huyo amewaweka mawakala hao toka Saa nane mchana na ilipofika Saa mbili o nusu usiku akatoroka na kuzima simu zote.
Inasikitisha Sana kwamba chaguzi zinaitishwa lkn hazisimamiwi kwa mujibu wa sheria. Tunaendelea kumtafuta huku tukichukua hatua zingine.

Yonas Masiaya
Mgombea Ubunge Monduli.
But you knew that these kind of nasty things will happen as it is now the order of the elections, an alternative could have been in place to take care of this. Definetely CDM itashinda but votes will be rigged! What next? Ukweli ni kuwa watamtangaza mtu wao, hilo liko wazi. Nini kifanyike? Ilibidi kwenda mitaani ili wafe watu kama 100,000 hivi au zaidi, then the intentional community comes in forcefully! Chakaza Salary Slip
 
Tuna usalama wa Taifa, ina maana Usalama wa Taifa haya hawayaoni au?
Nilidhani kazi adhimu kabisa ya usalama wa Taifa ni kuintervene kwenye mambo ya msingi kams haya ili thamani ya kura ya mwananchi iweze kuheshimika!
Usalama wa taifa wametumwa na Jiwe wayasimamie hayo maovu
 
Alafu kwanini watu kama hawa hawachukuliwi hatua, utakuta mtu amepewa mamlaka yakuratibu na kusimamia uchaguzi alafu anazingua tu sehemu ili kuwapa wengine tabu yakufanya kazi yao ipaswavyo alafu bado mtu huyo anaachiwa tu bila kuchukuliwa hatua kali ya kisheria, na pindi mtu huyo akisababisha tatizo kwenye jamiii yeye hakamatwi bali wengine ndio wanaonekana ndio wamekosea,
 
Ndio hivyo wanavyofanya ushetani wao halafu utasikia tumeshinda kwa kishindo mungu. Atakataa sasa amen.for chadema
 
Nchi
Wiki iliyopita Mwenyekiti wa BAVICHA, alitoa taarifa kuwa mawakala wote wa CDM wamesha apishwa, leo tunapewa taarifa kinzani. CDM mna matatizo.
Nchi yetu yenye amani inasukumwa kwenye vurugu na umwagaji damu na Watu wajinga au vichaa. Yajayo yanasikitisha sana. Kwenye hili la kuvuruga demokrasia hakuna chama. Wote wanaotenda, kunyamaza au kuyachukulia poa mambo haya ya kivuruge demokrasia wataathirika labda weye na ndugu wote muwe ughaibuni utakako simangwa na kubaguliwa.
 
Sasa kama ghafla wamepotea wafanyeje?
waripoti polisi Na Watoe tangazo magazetini kuhusu kupotea kwao . Sasa wanaenda kavu kavu tu eti wamepotea.Polisi ripoti iko wapi.Msimamizi wa uchaguzi hawezi pokea ripoti ya kienyeji kama hiyo
 
Back
Top Bottom