Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Monduli amegoma kuwaapisha mawakala wa CHADEMA waliowasilishwa na chama kwake ili kuziba nafasi ya mawakala waliokamatwa, kutekwa na wengine kurubuniwa na CCM hivyo kujitoa.
Msimamizi huyo amewaweka mawakala hao toka Saa nane mchana na ilipofika Saa mbili o nusu usiku akatoroka na kuzima simu zote.
Inasikitisha Sana kwamba chaguzi zinaitishwa lkn hazisimamiwi kwa mujibu wa sheria. Tunaendelea kumtafuta huku tukichukua hatua zingine.
Yonas Masiaya
Mgombea Ubunge Monduli.