Monduli kutoa picha halisi ya mtazamo wa watanzania kwa Magufuli

kwa mambo niliyoyaona na kuyashuhudia hapa Monduli jana kwa wananchi kuandamana na kumsihi waziri mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa kuruhusu Fred mtoto wake asimame kugombea Ubunge ni dhahiri sasa watanzania watajua kama kweli utawala wa Rais Magufuli unakubalika kiasi gani kwa wananchi
nasema hivyo kwa sababu wananchi walitoa ahadi ya kusimamia kura wenyewe na nawahakikishia hakuna ujanja wowote utakotumika kuiba au udanganyifu wa aina yoyote kwa kuwa wananchi wa Monduli wana msimamo madhubuti usiotingishwa kwa lolote
naomba ccm mkae mkijua mmefanya makosa makubwa kumshawishi mbunge huyu wa monduli kujiuzulu,
hiyo inaonyesha jinsi uwezo wenu ulivyo mdogo katika kufanya mambo ambayo yanahitaji high level of intelligence,
kazi mnayo kwa kweli na mtajua kwamba dhuluma mnayofanya kushawishi wabunge wetu kujiuzulu ni ujinga na haisaidii kuwanya legitimate katika taifa hili,
mwisho wenu ni mmbaya sana hapa mmepigwa bao mapema kwa sababu Mungu ameingilia kuwafumba macho na akili ili msione nini kinakujax
tusubiri tujionee uchaguzi wa Monduli ndio itakuwa habari ya kufunga mwaka huu 2018......
HAMNA LOLOTE
 
Monduli ukiweka jiwe na ccm wapambane .jiwe litashinda. Wamasai sio watu wa kuyumbishwa wanamsikiliza sana mamvi.labda hawa nzi wa kijani watumie nguvu na ubabe ndo watashinda vinginevyo monduli wataisikia tu.
 
Back
Top Bottom