Monduli kutoa picha halisi ya mtazamo wa watanzania kwa Magufuli

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
kwa mambo niliyoyaona na kuyashuhudia hapa Monduli jana kwa wananchi kuandamana na kumsihi waziri mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa kuruhusu Fred mtoto wake asimame kugombea Ubunge ni dhahiri sasa watanzania watajua kama kweli utawala wa Rais Magufuli unakubalika kiasi gani kwa wananchi
nasema hivyo kwa sababu wananchi walitoa ahadi ya kusimamia kura wenyewe na nawahakikishia hakuna ujanja wowote utakotumika kuiba au udanganyifu wa aina yoyote kwa kuwa wananchi wa Monduli wana msimamo madhubuti usiotingishwa kwa lolote
naomba ccm mkae mkijua mmefanya makosa makubwa kumshawishi mbunge huyu wa monduli kujiuzulu,
hiyo inaonyesha jinsi uwezo wenu ulivyo mdogo katika kufanya mambo ambayo yanahitaji high level of intelligence,
kazi mnayo kwa kweli na mtajua kwamba dhuluma mnayofanya kushawishi wabunge wetu kujiuzulu ni ujinga na haisaidii kuwanya legitimate katika taifa hili,
mwisho wenu ni mmbaya sana hapa mmepigwa bao mapema kwa sababu Mungu ameingilia kuwafumba macho na akili ili msione nini kinakujax
tusubiri tujionee uchaguzi wa Monduli ndio itakuwa habari ya kufunga mwaka huu 2018......
 
Mtachoka kuongea hukuna CCM kuchukua kitu monduli tuko imara na tunasema demokrasia iwepo monduli
 
Mbunge tulie mchagua sis atajua wakina monduli n wakina nan mshenz asiye kuwa na akil mjinga asiye na elimu mpumbavu asiye haya mmbwa mlinda boma mbil utakosa pa kukaa sias la hujui
 
Mbunge tulie mchagua sis atajua wakina monduli n wakina nan mshenz asiye kuwa na akil mjinga asiye na elimu mpumbavu asiye haya mmbwa mlinda boma mbil utakosa pa kukaa sias la hujui au uliambiwa CCM kuna kulamba mikon ss tunacho taka n demokrasia
 
kwa mambo niliyoyaona na kuyashuhudia hapa Monduli jana kwa wananchi kuandamana na kumsihi waziri mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa kuruhusu Fred mtoto wake asimame kugombea Ubunge ni dhahiri sasa watanzania watajua kama kweli utawala wa Rais Magufuli unakubalika kiasi gani kwa wananchi
nasema hivyo kwa sababu wananchi walitoa ahadi ya kusimamia kura wenyewe na nawahakikishia hakuna ujanja wowote utakotumika kuiba au udanganyifu wa aina yoyote kwa kuwa wananchi wa Monduli wana msimamo madhubuti usiotingishwa kwa lolote
naomba ccm mkae mkijua mmefanya makosa makubwa kumshawishi mbunge huyu wa monduli kujiuzulu,
hiyo inaonyesha jinsi uwezo wenu ulivyo mdogo katika kufanya mambo ambayo yanahitaji high level of intelligence,
kazi mnayo kwa kweli na mtajua kwamba dhuluma mnayofanya kushawishi wabunge wetu kujiuzulu ni ujinga na haisaidii kuwanya legitimate katika taifa hili,
mwisho wenu ni mmbaya sana hapa mmepigwa bao mapema kwa sababu Mungu ameingilia kuwafumba macho na akili ili msione nini kinakujax
tusubiri tujionee uchaguzi wa Monduli ndio itakuwa habari ya kufunga mwaka huu 2018......
Fred asipogombea hao waandamanaji hawatapiga kura?!
 
Hapo monduli mjiandae mkurugenzi baada ya kutoa fomu ya mgombea wa ccm na kutimka kusikojulikana kuzuia mgombea wa upinzani asipewe fmu ya kugombea. pia mjiandae polis wote wa mkoa wa arusha kuhamia hapo ili kuwezesha mgombea wa ccm atangazwe mshindi.
 
kwa mambo niliyoyaona na kuyashuhudia hapa Monduli jana kwa wananchi kuandamana na kumsihi waziri mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa kuruhusu Fred mtoto wake asimame kugombea Ubunge ni dhahiri sasa watanzania watajua kama kweli utawala wa Rais Magufuli unakubalika kiasi gani kwa wananchi
nasema hivyo kwa sababu wananchi walitoa ahadi ya kusimamia kura wenyewe na nawahakikishia hakuna ujanja wowote utakotumika kuiba au udanganyifu wa aina yoyote kwa kuwa wananchi wa Monduli wana msimamo madhubuti usiotingishwa kwa lolote
naomba ccm mkae mkijua mmefanya makosa makubwa kumshawishi mbunge huyu wa monduli kujiuzulu,
hiyo inaonyesha jinsi uwezo wenu ulivyo mdogo katika kufanya mambo ambayo yanahitaji high level of intelligence,
kazi mnayo kwa kweli na mtajua kwamba dhuluma mnayofanya kushawishi wabunge wetu kujiuzulu ni ujinga na haisaidii kuwanya legitimate katika taifa hili,
mwisho wenu ni mmbaya sana hapa mmepigwa bao mapema kwa sababu Mungu ameingilia kuwafumba macho na akili ili msione nini kinakujax
tusubiri tujionee uchaguzi wa Monduli ndio itakuwa habari ya kufunga mwaka huu 2018......
Kuna vijamaa vilibisha jana kuhusu hii habari
 
Munduli ndio nini hasa mpaka ukatumie kama kigezo cha kipimo cha kukubalika kwa CCM au MAGUFULI. Kumbuka huyo MAMVI ali defect kutoka CCM na akafuata manyumbu. Hivyo ni haki ya msingi kwa yeyote kuhama na huwezi kuamua kwa kipimo cha walamba miguu wachache sana wa luwasa eti ndio CCM kitapata aibu.
Afu Pesa ya mamvi siyo ya kawaida!
 
Munduli ndio nini hasa mpaka ukatumie kama kigezo cha kipimo cha kukubalika kwa CCM au MAGUFULI. Kumbuka huyo MAMVI ali defect kutoka CCM na akafuata manyumbu. Hivyo ni haki ya msingi kwa yeyote kuhama na huwezi kuamua kwa kipimo cha walamba miguu wachache sana wa luwasa eti ndio CCM kitapata aibu.
you nailed it.....ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom