Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,822
- 3,832
Ni dalili za wanasiasa wanaopenda ukabila, ujimbo na ukanda. Haiingii akilini kuwa mtu Wa kabila lenu au kwenu asipochaguliwa kuwa mgombea Wa chama kwenye urais basi mnahama chama.
Ni upuuziiii.....
Je na sisi tunaotoka kwa mwandosya, Wasira, bilal, membe na wengineo tuhame pia?
Je huko UKAWA asipopitishwa huyo MTU wenu mnarudisha kadi mnaenda wapi?
Ni upuuzi, ni upuuuzi nasema.
Hoja ni kukiuka taratibu, kanuni na maadili ya chama kuwapata wagombea. Je mleta mada hvyo vilizingatiwa? Wafuasi wa watia nia uliyowataja ndio 'hamnazo' maana hamwezi mkafumbia uchafu uliyojitokeza. Waliyo na maskio wamesikia na wameihama CCM.
umehama lini kondoa ?Sisi wakazi wa simiyu hatujawaona wewe umewaona wapi wakati unaishi uchagani?
Ni dalili za wanasiasa wanaopenda ukabila, ujimbo na ukanda. Haiingii akilini kuwa mtu Wa kabila lenu au kwenu asipochaguliwa kuwa mgombea Wa chama kwenye urais basi mnahama chama.
Ni upuuziiii.....
Je na sisi tunaotoka kwa mwandosya, Wasira, bilal, membe na wengineo tuhame pia?
Je huko UKAWA asipopitishwa huyo MTU wenu mnarudisha kadi mnaenda wapi?
Ni upuuzi, ni upuuuzi nasema.
CCM taifa kubwa mpokeeni EL halafu ndo mtajua CCM taifa kubwa na Chadema mtashangaa. Majuto sikuzote Mjukuuu.
Ni dalili za wanasiasa wanaopenda ukabila, ujimbo na ukanda. Haiingii akilini kuwa mtu Wa kabila lenu au kwenu asipochaguliwa kuwa mgombea Wa chama kwenye urais basi mnahama chama.
Ni upuuziiii.....
Je na sisi tunaotoka kwa mwandosya, Wasira, bilal, membe na wengineo tuhame pia?
Je huko UKAWA asipopitishwa huyo MTU wenu mnarudisha kadi mnaenda wapi?
Ni upuuzi, ni upuuuzi nasema.
Duh una hasira! Katika siasa ndugu yangu unatakiwa uwe na uvumilivu. Hata wewe kuna siku utakereeka na ukipendacho ukafanya maamuzi ambayo wengine watasema hivihivi unavyosema. Ushauti ni kupenda kwa kiasi na kunena kwa kiasi. Hao wanaohama siyo kwa sababu tu ya mtu wao kuavhwa bali pia wana protest uvunjigu wa taratibu au haki. Kumbuka haki siyo itendeke bali ionekane inatendeka.Na wale wanaokosoa uteuzi Wa ccm Wakati ni makada Wa ccm ni vema wakarudisha kadi pia wakaenda chadema mapema kuliko kulalamika mitaani. Urais si fadhila kwamba Mtu aliyetumia fedha nyingi kushawishi watu wampende au wajitokeze kutangaza nia ndo apewe urais. LA hasha urais ni zaidi ya hapo.
Ni dalili za wanasiasa wanaopenda ukabila, ujimbo na ukanda. Haiingii akilini kuwa mtu Wa kabila lenu au kwenu asipochaguliwa kuwa mgombea Wa chama kwenye urais basi mnahama chama.
Ni upuuziiii.....
Je na sisi tunaotoka kwa mwandosya, Wasira, bilal, membe na wengineo tuhame pia?
Je huko UKAWA asipopitishwa huyo MTU wenu mnarudisha kadi mnaenda wapi?
Ni upuuzi, ni upuuuzi nasema.
Ni dalili za wanasiasa wanaopenda ukabila, ujimbo na ukanda. Haiingii akilini kuwa mtu Wa kabila lenu au kwenu asipochaguliwa kuwa mgombea Wa chama kwenye urais basi mnahama chama.
Ni upuuziiii.....
Je na sisi tunaotoka kwa mwandosya, Wasira, bilal, membe na wengineo tuhame pia?
Je huko UKAWA asipopitishwa huyo MTU wenu mnarudisha kadi mnaenda wapi?
Ni upuuzi, ni upuuuzi nasema.
Ni dalili za wanasiasa wanaopenda ukabila, ujimbo na ukanda. Haiingii akilini kuwa mtu Wa kabila lenu au kwenu asipochaguliwa kuwa mgombea Wa chama kwenye urais basi mnahama chama.
Ni upuuziiii.....
Je na sisi tunaotoka kwa mwandosya, Wasira, bilal, membe na wengineo tuhame pia?
Je huko UKAWA asipopitishwa huyo MTU wenu mnarudisha kadi mnaenda wapi?
Ni upuuzi, ni upuuuzi nasema.
Nyie peke yenu mnafika millioni 12+? Kama hamfiki basi futa hiyo ndoto yako mfu,eti mukiamua!!acha ufala weweLeta ya kwako mkuu ambayo si ovyo!! Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake na huo ndiyo ukwel!! Hawa madiwan wameonyesha utoto, ukabila na ukanda!! Na kama kanda ya ziwa tukiamua kuwa na ukanda kila wakati raisi atatoka kwetu!!