Shule mama shule. Nawaambiaga marafiki zangu wa mjini tofauti yangu na yao ni kwamba mi sikwenda shule kukua ila kuelimika. Ndo maana vitu vingi wanavyofanya niko tofauti nao.
kaambiwa group la kuelimishana sijui kufanya nn kufika anaambiwa inabidi utume picha tukujue akatuma bwana mtu wa jf hajui kama huyu ni mzigua asije nayo jf kuipost kwenye mapicha