Kweli kabisa. Unafiki humu ndio nyumbani kwake.Tuache unafiki. Na tujue mtu anapomfata mwingine kumwambia mambo yangu ujue hata yake yanazungumzwa sana tu.
Yaani ndo maana nkasema wote humu ni WANAFIKI!!! Hivi ukijua sura ya Sakayo inakunyima nini usingizi mpaka uisambazee?! Kwamba natokea sayari nyingine ama?!

Hii ndo aibu jamani. I have a friend hata kama hujui ugomvi anaweza akakwambia fulani akikuuliza hiki sema ndio. Sasa kumbe ile ndio yako ndo inachochea ugomvi. Toka nimejua nilimwambiaga sitaki uniambie chochote na wagomvi wako. Malizaneni wenyewe.