Monaban, Siasa unazoeneza Arusha zitakutafuna mwenyewe kibiashara

Ndugu 'wananchi'

Naomba kudeclare interest kuwa mimi ni muarusha 'masai' kama lilivyo kabila la mgombea wa ccm Filemon Mollel hapa Arusha mjini.

Kumekuwepo na juhudi za kututaka watu wa hapa kumchagua mgombea huyo eti kwa kuwa ni 'wa kwetu' tuachane na kamanda wetu Godbless Lema.

Dalili zinaonesha kuwa ni propaganda iliyoshindwa kwa kuwa mali zake sio 'zetu',na pia sisi waarusha hatuna ukabila hence hao hao wachaga tumeoana,tumezaliwa wote hapa na wazazi wetu wameoana ama tumezaliwa na akina mama wa kichaga..kutugawa ni ngumu.

Hata hivyo hatari ya Monaban niliyemjua baada ya kuchukua fomu ya ccm ni kuyumba kibiashara kwa kuwa wanaomdai pesa nyingi,washirika wake wa biashara,wateja wake ni wachaga pia.

Wote tunaisoma namba lakini majeraha Mollel anayotengeneza atasomeshwa namba.

Arusha, Lema tena 2015.

kama tupo makabila mchanganyiko basi sasa ni zam ya MONABAN
 
Bora wewe umeliona hili,Geita na Shinyanga ndiyo kete waliyotumia CCM kumpigia kampeni Magufuri.
 
Zambi ya ubaguzi acha iwatafune!
nyinyi ndio wapandaji wakubwa wa dhambi hii ya ubaguzi

Mbona hawaoni upande wa Pili? walichokioanda wqtakivuna, ukipanda ujabila utavuna ukabila, ukipanda ukanda utavunabukanda.. wacha ngoma lielekeebkule kule lilikotoka maana hatavRais tulitaka wa Kaskazini kwanini na Mbunge wasitake wa kwao?
 
Nyie ndio hajui sasa ....monaban anazuga tuu ccm bila kiu kweli kwa sasa ni ukawa ndani ya moto... Aliogopa kutoka ccm sababu ya biashara zake tuu. Ila kiroho tupo naye kimwili yupo na ccm
 
amuulize yule Ole Medeye aliyekuwa ccm alivyopotezwa kwa siasa za aina hiyo! ndo akaona hamna namna inabidi atujoin CDM.

Afu ndo mkampa mtu mwenye siasa za hovyo namna hiyo kugombea Uspika.
Mhimili mojawapo wa dola.
Hamna maana kabisa ndo maana wakati mwengine huwa tuanaidharau sana hii "Chadema Mpya".
 
Mmeanza visingizio?

Lema lazima apigwe chini

Lema apigwe chini wapi na nani? Karibu Arachuga ndio utajua nini maana ya chadema 24-1. bado manweweseka, ccm kichapo ilichopata kwa madiwani ni kikubwa kuliko cha stars juzi.
 
Monaban ha ha ha ha...
Hivi sasa hivi anafanya kampeni kweli au ndio mwendo wa nyumba kwa nyumba?

Mkuu sasa hivi ndio anazidi kuchoka kabla ya uchaguzi alikuwa anapita na mabalozi na viongozi wa ccm akigawa hela, juzi ameanza tena kuga wa unga kwa kila kaya wamama wa ccm wanakimbizana kwa mabolozi kwenda kuchukua unga wa monaban, na amewaahidi wakimchagua atawapa mikopo pamoja na unga kilo 5 kila familia kwa mwezi. Jamaa anajilipua kuliko ISIS atakuja kulia na mweye kumbe hadidi ni yeye. Sie tunasubiri kumpeleka kamanda LEMA BUNGUNI kwa kishindo ikiwa pia ni heshima ya kipekee kwa kamanda wetu marehemu Alphonce Mawazo, kwa hili la mawazo ndio wameamsha hasira za kuifuta kabisa ccm A town.
 
Kuhusu mawazo duuuh... kamanda aliwahi kuwa diwani wangu aisee noma sana kimeniuma mpaka.
Monabani acha agawe tuu unga ila kile kitambi kitayeyuka tuu....
Nilijiandikishia Arusha ila now nipo mbali ila lazma nirudi kwa ajili ya kamanda Lema.
DHAMBI KUBWA NA MBAYA KULIKO ZOTE NI WOGA.
 
Back
Top Bottom